Men's Talk...!!!!!

Men's Talk...!!!!!

mimi mwanamke jamani, sorry nimeingilia mada yenu.

ila kaka upo sahihi, mie mwenyewe sipendi mwanaume ambaye yupo tayari kuchart na mimi all the time, kwanza nitamdharau na kumuona hana shughuli nyeti za kufanya.

au anakupigia simu muda wote kuongea pumba.....watu wa hivyo huwa hata round moja ya uhusiano hamalizi.........tupa kule....huna kazi za kufanya.......
nyie wanaume wenye tabia hizi huwa mnakera mjue........mnaboa sana......
(sorry kwa kuingilia mazungumzo yenu wakaka)..........

 
au anakupigia simu muda wote kuongea pumba.....watu wa hivyo huwa hata round moja ya uhusiano hamalizi.........tupa kule....huna kazi za kufanya.......
nyie wanaume wenye tabia hizi huwa mnakera mjue........mnaboa sana......
(sorry kwa kuingilia mazungumzo yenu wakaka)..........


Mnasema hvo bt f we stp chekn on yah mnalalama nakuhc vbaya tht kuna Cha pembeni kmeshkilia..Kweli nyie ni complicated species ever exist.
 
Preta
So amazing how this world was made
I wonder if GOD is a woman
The gift of life astounds me till this day
I give it up for the woman
She's the constant wind that fills my sail
Oh that woman
With her smile and her style,my
She'll protect like a child
That's a woman

She'll put a smile upon your face
And take you to that (ah) higher place
So don't you under estimate
The strength of a woman
The strength of a woman
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ni kama empty box, unapokua nalo usitarajie kutoa kitu ndani yake, bali tegema ww ndio uweke kitu ndani yake. Otherwise ukiwa unategemea kitu flani positive kutoka kwake utaumia, bcoz its empty box.
Ndio maana Biblia imeandika muishi nao kwa akili

Ndipo hapo mnapoji contradict.
Women are empty boxes, and you men are full boxes! Prove that to us empties!
Sifa za full boxes, meaning imejaa hekima, akili, maarifa na utajiri wote!
Sasa inakuwaje tena full box anatoka huko na kukopa kw empty box, full box anashindw, kusatsfy needs za familia, full box analialia ooo usichague sana nikubali mm na hali yngu duni nikuoe!
Full box anadai hali mbaya vumilia!
Full box anadai kamshahara ka empty box na yeye akatumie!
Empty box ni empty hana! Ndiyo sababu empty box akikopwa au kuombwaombwa na full box anashangaa na kukereka! Anawapa live mwanamme mwenye hela ndio mpango mzima! Huna sababu ya kujitetea kwann ukose while u boast yrself u are capable!
Otherwise u ar just a mere box full of garbage!
 
Wanaume wengi huwa wanafunguliwa macho yao na matatizo kwenye mahusiano. Yaani tuna tabia ya kutokufikiri wala kujipanga. Naomba niseme hivi:
1. Tabia za wanawake ntingi zinafanana sana, they are very insecure anywhere they go, kwa hiyo mkakati wa kwanza huwa wana tabia ya kutafuta security. Wakiingia popote wanatafuta kwanza mlango wa kutokea. inaumiza sana wanaume maana wao wanakuwa wanawaza mapenzi - wakati wanawake wanawaza maisha (yaani wewe unapaswa kumpatia mapaka pension atakapozeeka, kisa umeanza kulala nae.

2. Wanaume wanaridhika mapema sana kwenye mahusiano. Wanakuwa wao wameshapata mwanamke walokuwa wanamtaka aaah baas, wamefika. Wanawake huwa wanatafuta security lakini hata wakiipata huwa hawaitambui!
*Wakipata mwenye akili wanadai wanatafuta mrefu
*wakipata mrefu - wanadai wanatafuta mwenye mapenzi ya kweli
*wakipata mwenye mapenzi ya kweli - wanadai wanataka mwenye uume mkubwa
*Wakipata mwenye pesa wanadai hile na lile ilimradi ni fujo tu!

Wanaume tunaingia haraka kuwavua nguo kina dada. Baada ya kumvua nguo unalazimika kuanza kutoa ahadi za kijinga. Nadhani Tunapaswa tuwe makini wakati wa kuingia (tuwe tunajua tunakwenda nae wapi)

Kama ni wa kukaa nae,utakuwa mwangalifu sana wakati wa kuingia, jiulize maswali magumu na yeye mwuulize maswali magumu.Zingatia sana kwenye kujua kama 1. faith yake kwa Mungu na kwako 2. Convictions zake - lazima awe na mambo ambayo anayasimamia. Kama hana anayosimamia - achana nae kimbia! usije ukamvua nguo na ukategemea ndio unaanza kukoroma, thubutuuu!
 
=tetere;7193443]Wanaume wengi huwa wanafunguliwa macho yao na matatizo kwenye mahusiano. Yaani tuna tabia ya kutokufikiri wala kujipanga. Naomba niseme hivi:
1. Tabia za wanawake ntingi zinafanana sana, they are very insecure anywhere they go, kwa hiyo mkakati wa kwanza huwa wana tabia ya kutafuta security. Wakiingia popote wanatafuta kwanza mlango wa kutokea.
*****Huezi kuwa secured wakati hakuna security! Lazima uchukue tahadhari! ukijenga Nyumba lazima kuwe na milango zaidi y mmoja! Wanaounda vyombo vy kusafiria wanaweka security doors!


Inaumiza sana wanaume maana wao wanakuwa wanawaza mapenzi -
*****For how long unawaza mapenzi? How comes unawaza mapenzi, while u are unfaithfully( Nyumba ndogo, na spare tires)

wakati wanawake wanawaza maisha (yaani wewe unapaswa kumpatia mapaka pension atakapozeeka, kisa umeanza kulala nae.
****The bible says so! Huo ni wajibu wako usiumie ufurahie! As the bible says to me ntazaa kw uchungu, nitakuwa msaidizi wa mwanamme, tamaa yngu itakuwa kwake! Huo ni wajibu wangu, ndio mana hujaona mwanamke akilalamika kwann wanaume hawabebi mimba na kuzaa, hawaoshi vyombo, hawafagii nyumba, hawapiki! We are happy and proud about it!


2. Wanaume wanaridhika mapema sana kwenye mahusiano. Wanakuwa wao wameshapata mwanamke walokuwa wanamtaka aaah baas, wamefika.
**How comes nyumba ndogo zinakuwepo? How comes wanaume ndio wanaoongoza kucheat (kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja? )

Wanawake huwa wanatafuta security lakini hata wakiipata huwa hawaitambui
*Wakipata mwenye akili wanadai wanatafuta mrefu
*wakipata mrefu - wanadai wanatafuta mwenye mapenzi ya kweli
*wakipata mwenye mapenzi ya kweli - wanadai wanataka mwenye uume mkubwa
*Wakipata mwenye pesa wanadai hile na lile ilimradi ni fujo tu!
****This goes both ways! Akimpata mrefu anadai, mwnye hips
*Akimpata mwny hips anadai hajatulia,
* Akimpata alietulia anadai mshamba ,
* Akipata anaeomba hela anamuita tegemezi
*Akipata asiyemtegemea anawezeshwa na vidumu!
*Akipata msomi janga! ana akili sana mjuaji huyu!
* Akimpata mjinga anamnyanyasa!

Wanaume tunaingia haraka kuwavua nguo kina dada. Baada ya kumvua nguo unalazimika kuanza kutoa ahadi za kijinga. Nadhani Tunapaswa tuwe makini wakati wa kuingia (tuwe tunajua tunakwenda nae wapi)
***Well said! Usimchukue mwanamke kwa kumfanyia mazoezi! huku unatoa ahadi za kijinga na uongo! Mwisho wa cku unatuletea thread huku tukupe mbinu za kumuacha!


Kama ni wa kukaa nae,utakuwa mwangalifu sana wakati wa kuingia, jiulize maswali magumu na yeye mwuulize maswali magumu.Zingatia sana kwenye kujua kama 1. faith yake kwa Mungu na kwako 2. Convictions zake - lazima awe na mambo ambayo anayasimamia. Kama hana anayosimamia - achana nae kimbia! usije ukamvua nguo na ukategemea ndio unaanza kukoroma, thubutuu!

******Ahsante sana umemaliza! Ondoka mapema usimpotezee muda, hutajenga roho y uchungu! Hatupendi kuachwa!
 
Umedhihirisha ukweli wa yanayosemwa hapa, akili zako zinawaza ubinafsi tu, as all womens do. Si mnasema haki sawa, sasa hyo haki sawa (50/50) ni kwenye viti maalum tu?.

'Haki sawa' ni siasa za majukwaani, kuwahimiza wanawake wajitambue. Ni sawa na ule msemo wa 'MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA' wewe umeshaona utekelezaji wake? Mwanaume ni majukumu kaka, hilo alikwepeki.
 
Hapo sasa. . .



Sasa. . .tusipojaribu tutajuaje tunaweza au hatuwezi?

Ndoa haina majaribio ndio maana nikasisitiza ni bora kubaki bila kuolewa kuliko kuolewa na mwanamme asiyekupenda kwa kisingizio utamfundisha kukupenda hilo halipo. Ni rahisi kabisa mwanamme kumfundisha mwanamke kumpenda kwani ndivyo ilivyo na siyo mwanamke kumfundisha mwanamme.....hapa utalia na kusaga meno.
 
This issue is reciprocal and we need to address to both parties meaning men and women,its a proof of immaturity in love and relationship. pole sana mambo haya yapo ila muda ukifika yana mwisho🙂
 
Kuna Thread Moja nilishwahi kuipost ya Wake zetu na Mishahara yao.
Binafsi mie nimejiamulia kuwa Mambo ya Familia ni Juu yangu, Kula, Kuvaa na Kulala, ila kuna Principle nimejiwekea, kama kuna issue yeyote inayohusu kwao ni Juu yake... Full Stop
 
Useful post nimejifunza kitu wakuu,mimi ambaye sijaoa bado inabidi niwe mwangalifu sana
 
Kuna Thread Moja nilishwahi kuipost ya Wake zetu na Mishahara yao.
Binafsi mie nimejiamulia kuwa Mambo ya Familia ni Juu yangu, Kula, Kuvaa na Kulala, ila kuna Principle nimejiwekea, kama kuna issue yeyote inayohusu kwao ni Juu yake... Full Stop

That's a Real Man! Like..... Huyo mke anatakiwa akubebe mgongoni kwenda msalani lol! Wachache sana wa ivyo!
 
Back
Top Bottom