Men's Talk...!!!!!

Men's Talk...!!!!!

Ayanda upo mkuu?
nilikukosa sana mitaa hii.

mimi mwanamke jamani, sorry nimeingilia mada yenu.

ila kaka upo sahihi, mie mwenyewe sipendi mwanaume ambaye yupo tayari kuchart na mimi all the time, kwanza nitamdharau na kumuona hana shughuli nyeti za kufanya.
 
Ishi na mwanamke kwa akili. Biblia inaelekeza. Wale ni viumbe tofauti na sisi kwahiyo usijitahidi sana kuwafahamu kwavile hata wao wenyewe hawajifahamu. They are too complicated! MEN'S TALK
 
Marahaba

Wanataka kutufanya hatujui tutakalo, kama vile tukigegedana ni sie tumedanganywa.

Shkamoo Konnie. . .

Au ukute wao ndio wanagegedwa. . .wanawake tunaweza atiiii.
 
Sasa wewe ulitakaje?

Siku moja unaamka asubuhi UNEXPECTEDLY unakutana na mabox+mabegi sebuleni, sio naondoka ghafla ghafla na kipochi changu huku mimacho imenivimba. Nakaa chini najipanga, siku nikiondoka naondoka na kujiamini kwako.
Kuondoa hili tatizo usiingie kwenye ndoa kama kufuta aibu, ingia kwenye ndoa na mtu aliye tayari kukufanya mkewe na sio mzazi mwenzie...nafikiri umeelewa hakuna mwanamke au mwanamme anayebadili tabia baada ya kuolewa/kuoa...tabia zote anakuwa nazo sema tunajifariji kwamba tutawabadilisha. Mwanamme akimpenda mwanamke ni zuzu ktk himaya yake. Bora ubaki bila kuolewa kuliko kujaribu ndoa.
 
Salam wakuu,
As the title of the top clearly describes itself above, this thread is about us men. Let's share the things ambavyo vinakera ambavyo perhaps umeshawahi kukutana navyo katika mahusiano au umeshuhudia mtu wako wa karibu akifanyiwa ambacho ni kero. As for me, hakuna tabia inayonikera kama ya baadhi ya wanawake kutokua na usiri wa baadhi ya vitu ambvyo vinginevyo ni more private. Forinstance, unakuta mtu una gf wako mnapendana tu fresh lakini kila kitu mnachofanya yaani lazima akawahadithie mashoga zake. Saa zingine mpaka conversation zenu kwa texts anawaonesha wenzake au sometimes anaweza akakuweka kwenye loudspeaker (shit!) Wenzake wakawa wanakuchora. Mimi iliwahi kunitokea nadhani na chat na gf wangu kumpe kampa rafiki yake simu ndo anajibu texts zangu ila baadae nikashtukia chezo kwani kuna baadhi ya vijineno (like code words) ambavyo tulikua lazima tuviongee wakati tunachat hakuweza kuvitambua. Kwa kweli hii ni kero yangu kubwa katika mahusiano, na kero nyingine pia ni kitendo cha wakati mwingine kuingizia story za ex wake (wtf?) Katikati ya maongezi kitu ambacho kinakupa karaha sana. Yeye anadai walisha achana usijali lakini bado ni marafiki (I take this as a dormant volcano kwamba its not dead but rather inaweza one day ikaja ika erupt). Pia kuna swala la kupenda kwenda sawa na marafiki, kuna baadhi ya wanawake wanatabia ya kupenda kushindana na wenzao in terms of dressing, cellphones, bata etc. Ukijaribu kumueleza hali halisi ya baba wa taifa mifukoni kwamba anapumulia oxygen machines inakua ugomvi, viburi vinaanza etc. Je, wewe ume encounter kero gani katika mahusiano?

kazi kweli kweli
 
Matumizi ni mengi jamani KWA AKINA MAMA
Salon( nywele, kucha, facial, miguu, nyusi, kope) mavazi( mara ya mwisho umemnunulia lini mkeo nguo?)
je nguo za watoto unanunuaga?
na kama hununui, je huwa unatoa pesa ya mavazi?mara ngapi kwa mwaka? sh.ngapi?
Mnalalamika tuu hela ya mwanamke huioni, majukumu anayo mengi ambayo akiamua kukuorodheshea utakimbia.

Uko sahihi kabisa hela ya mwanamke huwezi iona kabisa Cjui wanafanyaga nn
 
WISE BOY??
Tutake radhi wananwake aisee
EMPTY BOX???????
NOOOOOOOOOO
muheshimu mamaako basi usimuite empty box
sio vyema kuitana majina ya kudhalilishana namna hiyo mkuu
tukianza na nyie wababa kuwaita majina ya karaha hapa si tutakimbiana!!!
FUTA KAULI PLS

Mwanamke ni kama empty box, unapokua nalo usitarajie kutoa kitu ndani yake, bali tegema ww ndio uweke kitu ndani yake. Otherwise ukiwa unategemea kitu flani positive kutoka kwake utaumia, bcoz its empty box.
Ndio maana Biblia imeandika muishi nao kwa akili
 
ukiwa na rafiki wa kike ambaye alishakuwa na mahusiano ujue huyo ni mpenzi wa mtu mwenyewe siku akitaka atakula tu!

usitake kuvunja ndoa za watu wewe ebo!!!!!! Imekuwa soda kwamba ukikuta haina gesi ni reject??????
 
Uko more than right mkuu, mtu anajenga kisiri siri sijui anakua anajihami vipi wakati tayari mmekua familia kila kitu kinapaswa kuwekana wazi.

Jibu ni simple hamtabiriki! Na ndiyo maana sheria ya ndoa ilibadilishwa kumfanya mwanamke naye kuwa na haki sawa kwenye umiliki wa mali ya ndoa.
Unajua kwnn huko nyuma mwanamme akikuchoka au umemkosea anakufukuza na unatoka na begi la nguo tuu hata nauli ya kurudi kwenu hupati!
Wakati mali mmechuma wote. Tena kama kaamua kuoa mke mwingine na watoto kulee!
Sidhani waliotunga sheria hii ni Wanawake!
Sasa baada ya sheria hii sidhani kuna haja tena ya kumficha mumeo mali!
Hakikisha tu unafunga ndoa na huyo mwanamme Mali ni zenu wote!
 
Marahaba

Wanataka kutufanya hatujui tutakalo, kama vile tukigegedana ni sie tumedanganywa.

Hapo sasa. . .

Kuondoa hili tatizo usiingie kwenye ndoa kama kufuta aibu, ingia kwenye ndoa na mtu aliye tayari kukufanya mkewe na sio mzazi mwenzie...nafikiri umeelewa hakuna mwanamke au mwanamme anayebadili tabia baada ya kuolewa/kuoa...tabia zote anakuwa nazo sema tunajifariji kwamba tutawabadilisha. Mwanamme akimpenda mwanamke ni zuzu ktk himaya yake. Bora ubaki bila kuolewa kuliko kujaribu ndoa.

Sasa. . .tusipojaribu tutajuaje tunaweza au hatuwezi?
 
Mkuu mleta mada hebu kwanza kwa niaba ya wanaume wote nikushukuru kwa kuileta hapa jukwaani.
Kisha moderate tutoe kero zetu na tusaidiane solution tusiwalaumu tu.

Ladies please let us discuss our things....Someni tu lakini msichakachue mada!!(Sisi vichwa vya nyumba tuna majukumu eti!)

Mimi kero yangu moja tuu....Ladies hawaembrace mfumo mmoja wakatulia na kuufuata! Atatangaza usawa kwenye uchumba na wewe kihaki utampa nafasi kwenye maamuzi. Saa linapokuja swala la matumizi atatoa kidogo kisha anakwenda kutangaza mimi kwangu ni 50% 50%.

Unakuta umetoa matumizi ya chakula ya kucover labda wiki3 za mwezi ye anatoa wiki 1 mishahara yenu haitofautiani kisha huyo mdomo na shostize eti maisha kusaidiana!!!! 50%50%(not my house though mke wangu is alright)
 
Mkuu, hii ni kero kubwa sana kwa kweli mpaka mi nashindwaga kuelewa. Siwapendi wazungu lakini kiukweli mfumo wa haki sawa kwa wote wanaufata vizuri. Ukiona mwanaume anapeleka watoto shule unakuta mwanamke labda anapika au anafanya majukumu mengine. Hata katika mgawanyo wa mshahara wanaendaga pasu kwa pasu
 
Kinachonikera wanategemea mwanaume uhudumie kwa kila kitu lakini hapo hapo anataka akumonite movement zako. . . utasikia upo katikati ya dili anakupigia simu, upo wapi huku anachonga wakati mwanaume umeenda kusababisha.
kingine ni kung'ang'ania haki sawa kwenye vitu vinavyowafavor wao km vile viti maalumu ila ikija haki sawa kwa vitu vya kuwatoa jasho utasikia 'wewe ndiyo mwanaume, kichwa cha nyumba'. . . .ndiyo maana mimi ni muumini wa mfumo dume.
 
Matumizi ni mengi jamani KWA AKINA MAMA
Salon( nywele, kucha, facial, miguu, nyusi, kope) mavazi( mara ya mwisho umemnunulia lini mkeo nguo?)
je nguo za watoto unanunuaga?
na kama hununui, je huwa unatoa pesa ya mavazi?mara ngapi kwa mwaka? sh.ngapi?
Mnalalamika tuu hela ya mwanamke huioni, majukumu anayo mengi ambayo akiamua kukuorodheshea utakimbia.

So nyie majukumu ya family hayawahusu??mana ulivoorodhesha hapo juu hata kmoja hamna kuhusu family..Haki mnataka kwenye kugawana mali tu kwingne mnajitoa
 
''Uko wapi?'' - Kama sentnsi ya kwanza anaponipigia simu wakati ndio kwanza nakunywa bia yangu ya kwanza....!
 
Back
Top Bottom