Men's Talk...!!!!!

Men's Talk...!!!!!

Tena hapo kwenye kujiandaa na maisha ya baada ya kuachana wapo wengi saaanaaa... Yaani mtu yupo ndani ya ndoa halafu anajiandaa kuacha, yaani utafikiri ameajiliwa halafu anajiandaa kuacha kazi... KAAAZZIIII KWELI KWELI..

Kazi ipo kaka... wanajijua hata humu wapo wengi kwani hili kundi lina wengi sana, si ulimsikia yule dada wa Arusha aliyotoa hela kwa majambazi wauwe mme na mwanae wa kufikia ili aridhi mali...baadhi ya wanawake wamesahau kabisa nini walichoambiwa kwenye vitabu vya mungu.
 
1. Kutaka yeye achukuwe nafasi ya mama mzazi, ndugu, marafiki etc etc yaani utafikiri alikukuta peke yako duniani kwamba huna unayemfahamu zaidi yake
2. Utakuta kipato kinajulikana, na vya kununua vinajulikana, lakini yeye atataka mkae kikao mjadili kununua mchele, sijui gesi, DSTV, unga, etc (wakati inajulikana huwa mnanunuaje).
3. Hela zako ni zenu, lakini hela zake ni zake... Yaani ikitokea kanunua kitu home, ujuwe umekopeshwa hicho, lazima uje ulipe...

Sorry nimeingilia mada, Naona mnajaribu kuelezea kero mnazokutana nazo bila kupeana ufumbuzi. Na ufumbuzi huwezi kuupata mpaka ujue tatizo ni nini. Mlitakiwa muongee na sisi wanawake ili mjue tunataka/tunategemea nini kwenye mahusiano.
Kwanza ili kuwe na balance kwenye kuwa-treat ndugu wa pande zote mbili cha kufanya Usimpe majukumu ya kulea familia mke wako. Mambo ya mshiko kwa ajili ya chakula na mazagazaga mengine pale nyumbani usimbebeshe mke wako jukumu hili kwa sababu si la kwake (vitabu vyote vya dini vinaelekeza). Wewe muwezeshe kifedha, yeye atasimamia mambo yaende sawa. Hapo sasa akianza ubaguzi, basi huyo atakuwa ana lake jambo.

NARUDIA TENA KWA MSISITIZO: JUKUMU LA KULEA FAMILIA SI LA KWETU SISI NI WASAIDIZI TUUUU!
Mwanaume hasifiwi KULA ni majukumu.
 
Hapo ndipo nilichoka jamani, yaan mtu mume wake wa ndoa kabisa ana conspire na majambazi wamuue ili achukue mali, kweli jamani? Daah inasikitisha sana!
 
Hapo bold hela zake ni za kununua kiwanja na kujenga kwa siri eti anajiandaa kwa maisha ya kujitegemea.....Ujinga mtupu tena wanaume wengi wana huu msiba, wewe unapambana na familia mwenzio anapambana kutafuta rasilimali zake.....Kuna wanawake wabinafsi sana na nashangaa hili kundi linakuwa siku hadi siku....Wanadanganywa na Joyce Kiria huku yeye ametulia na kuheshimu ndoa yake kama mwanamke na sio mwanamme.

Uko more than right mkuu, mtu anajenga kisiri siri sijui anakua anajihami vipi wakati tayari mmekua familia kila kitu kinapaswa kuwekana wazi.
 
Tunagegedana, sio mmoja anamgegeda mwenzie

Nyie tunawagegeda tu hatuwaoi...
Eti utakuta mwanamke anapotaka kuolewa utamsikia... ALL MEN ARE THE SAME, NI KAMA WAMEZALIWA NA MAMA MMOJA.... lakini still yet wanahangaika kuchagua Mr perfect..

1. Kutaka yeye achukuwe nafasi ya mama mzazi, ndugu, marafiki etc etc yaani utafikiri alikukuta peke yako duniani kwamba huna unayemfahamu zaidi yake
2. Utakuta kipato kinajulikana, na vya kununua vinajulikana, lakini yeye atataka mkae kikao mjadili kununua mchele, sijui gesi, DSTV, unga, etc (wakati inajulikana huwa mnanunuaje).
3. Hela zako ni zenu, lakini hela zake ni zake... Yaani ikitokea kanunua kitu home, ujuwe umekopeshwa hicho, lazima uje ulipe...

hahaha hiyo sio fair,ooh sorry nimepitiwa,its mens talk ough
 
Sorry nimeingilia mada, Naona mnajaribu kuelezea kero mnazokutana nazo bila kupeana ufumbuzi. Na ufumbuzi huwezi kuupata mpaka ujue tatizo ni nini. Mlitakiwa muongee na sisi wanawake ili mjue tunataka/tunategemea nini kwenye mahusiano.
Kwanza ili kuwe na balance kwenye kuwa-treat ndugu wa pande zote mbili cha kufanya Usimpe majukumu ya kulea familia mke wako. Mambo ya mshiko kwa ajili ya chakula na mazagazaga mengine pale nyumbani usimbebeshe mke wako jukumu hili kwa sababu si la kwake (vitabu vyote vya dini vinaelekeza). Wewe muwezeshe kifedha, yeye atasimamia mambo yaende sawa. Hapo sasa akianza ubaguzi, basi huyo atakuwa ana lake jambo.

NARUDIA TENA KWA MSISITIZO: JUKUMU LA KULEA FAMILIA SI LA KWETU SISI NI WASAIDIZI TUUUU!
Mwanaume hasifiwi KULA ni majukumu.

tena mwanaume msimamo,usipoonyeasha msimamo kwenye familia hata familia itayumba,matokeo yake mama anaamua anachokitaka,kueni mifano kwenye nyumba zenu acheni kuweka heshima bar
 
1. Kutaka yeye achukuwe nafasi ya mama mzazi, ndugu, marafiki etc etc yaani utafikiri alikukuta peke yako duniani kwamba huna unayemfahamu zaidi yake
2. Utakuta kipato kinajulikana, na vya kununua vinajulikana, lakini yeye atataka mkae kikao mjadili kununua mchele, sijui gesi, DSTV, unga, etc (wakati inajulikana huwa mnanunuaje).
3. Hela zako ni zenu, lakini hela zake ni zake... Yaani ikitokea kanunua kitu home, ujuwe umekopeshwa hicho, lazima uje ulipe...

Uko sahihi kabisa hela ya mwanamke huwezi iona kabisa Cjui wanafanyaga nn
 
Mwanamke ni kama empty box, unapokua nalo usitarajie kutoa kitu ndani yake, bali tegema ww ndio uweke kitu ndani yake. Otherwise ukiwa unategemea kitu flani positive kutoka kwake utaumia, bcoz its empty box.
Ndio maana Biblia imeandika muishi nao kwa akili
 
Sorry nimeingilia mada, Naona mnajaribu kuelezea kero mnazokutana nazo bila kupeana ufumbuzi. Na ufumbuzi huwezi kuupata mpaka ujue tatizo ni nini. Mlitakiwa muongee na sisi wanawake ili mjue tunataka/tunategemea nini kwenye mahusiano.
Kwanza ili kuwe na balance kwenye kuwa-treat ndugu wa pande zote mbili cha kufanya Usimpe majukumu ya kulea familia mke wako. Mambo ya mshiko kwa ajili ya chakula na mazagazaga mengine pale nyumbani usimbebeshe mke wako jukumu hili kwa sababu si la kwake (vitabu vyote vya dini vinaelekeza). Wewe muwezeshe kifedha, yeye atasimamia mambo yaende sawa. Hapo sasa akianza ubaguzi, basi huyo atakuwa ana lake jambo.

NARUDIA TENA KWA MSISITIZO: JUKUMU LA KULEA FAMILIA SI LA KWETU SISI NI WASAIDIZI TUUUU!
Mwanaume hasifiwi KULA ni majukumu.

Umedhihirisha ukweli wa yanayosemwa hapa, akili zako zinawaza ubinafsi tu, as all womens do. Si mnasema haki sawa, sasa hyo haki sawa (50/50) ni kwenye viti maalum tu?.
 
Mwanamke ni kama empty box, unapokua nalo usitarajie kutoa kitu ndani yake, bali tegema ww ndio uweke kitu ndani yake. Otherwise ukiwa unategemea kitu flani positive kutoka kwake utaumia, bcoz its empty box.
Ndio maana Biblia imeandika muishi nao kwa akili

Hahahah, mkuu u killed it!
 
Ilikuwa zamani ndugu yangu wa sasa hivi ni kama wanaume uliosema hapo juu, wanawapanga wanaume hata sita na wote wanategemea kumwoa...Hushangai yule mkenya aliyeamua kuolewa na wanaume wawili??????????

Hata sasa tupo we mwana we! km ww hujakutana nae basi tupo
utambue hilo
 
Mwanamke ni kama empty box, unapokua nalo usitarajie kutoa kitu ndani yake, bali tegema ww ndio uweke kitu ndani yake. Otherwise ukiwa unategemea kitu flani positive kutoka kwake utaumia, bcoz its empty box.
Ndio maana Biblia imeandika muishi nao kwa akili

Duuh...jf were we dare to talk openly
 
Tena hapo kwenye kujiandaa na maisha ya baada ya kuachana wapo wengi saaanaaa... Yaani mtu yupo ndani ya ndoa halafu anajiandaa kuacha, yaani utafikiri ameajiliwa halafu anajiandaa kuacha kazi... KAAAZZIIII KWELI KWELI..

Hahahahaha. . .Kwani nyie hua mnakurupuka tu kuacha?

Kujiandaa ndio mpango mzima, hamna habari za "ohhh I made a mistake, bado nakupenda sijui nakuhitaji". Nikiondoka baada ya maandalizi ndio BUH BYE!!!!
 
Lazima utakuwa unasubiria ndoa wewe na kama unamaanisha na unayo ndoa imeshavunjika miaka mingiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Sasa wewe ulitakaje?

Siku moja unaamka asubuhi UNEXPECTEDLY unakutana na mabox+mabegi sebuleni, sio naondoka ghafla ghafla na kipochi changu huku mimacho imenivimba. Nakaa chini najipanga, siku nikiondoka naondoka na kujiamini kwako.
 
Back
Top Bottom