Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

Sifikiri kuoa,
Long term patner lazima awe smart, hata akiwa na sura ya babake ni sawa, akiwa mrembo hio ni extra.

Unaoa mwanamke mzuri kujifurahisha, unapata watoto warembo hawana akili, wanakuja kuteseka kwenye dunia isiyokuwa na huruma.
Wacha wawe na sura mbaya ila very smart vipanga. Wawe na utashi wa kupambanua mambo dunia inaenda kasi sana, miaka kadhaa ijayo masikini watazidi kuwa masikini zaidi na matajiri vivo hivyo.. sion tabaka la kati, linaenda kupotea kabisa
 
Jesus

Aiseee
 
Tulioa shape, bikra haizungumziwi na tabia ndio tamanio la mwisho ukiwa kwenye ndoa mbaya
 
The sequence of virginity and marriage
1. Hitaji la asili lilikuwa virgin
2. Hitaji lililofuata likawa si bikira bali awe hana mtoto
3. Ikafuatia mtoto sio tatizo je afya iko sawa?
4. Sasa hivi yote hayo sio kipaumbele je ana kazi?
 
Weka ndani pisi kama hii lazima uwahi kurudi job
Muonekano Safi,sura ya kuvutia, shape kulingana na mahitaji, Kujipamba kwa mavazi na usafi wa mwili kwa ajili ya mume husaidia kudumisha vivutio vya kimahaba na upendo.
 
Mwanamke ni pambo la nyumba, Huwezi kuchukua maua ya mnazi na ukaweka ndani. Naoa mwanamke mwenye mvuto, shape na kila aina ya urembo.

Mwanaume hakikisha unaoa pisi kali, usioe ilimradi umeoa, Oa chombo ya ukweli.
Sawa LAKINI tukiwagongea msilalamike, unawezaje kutunza ua ndani nyuki wasilimendee Oa LAKINI kubaliana na hali
 
kila mwananmke ana tabia nzuri mbele ya mwanaume ampendae.
kila mwanamke ana shepu nzuri ndani ya macho ya mwanaume aliependa.
ni inategemeana tu kila mmoja kasimama katika angle ipi ya muunganiko wao.
 
kila mwananmke ana tabia nzuri mbele ya mwanaume ampendae.
kila mwanamke ana shepu nzuri ndani ya macho ya mwanaume aliependa.
ni inategemeana tu kila mmoja kasimama katika angle ipi ya muunganiko wao.
Kila mwanamke huwa na tabia njema, upole, na umakini mkubwa anapokuwa mbele ya mwanaume anayempenda kwa dhati.

Hali hii hutokana na nia yake ya ndani ya kulinda heshima ya uhusiano wao na hamu ya kuonekana bora na wa thamani machoni pa mpenzi wake.

Upendo wa kweli humfanya mwanamke kutoa upande wake wa kipekee na wa kuvutia zaidi ili kuweka ukaribu na amani.
Wakati huo huo, uzuri wa umbo au shepu ya mwanamke hautegemei viwango vya jamii, bali unakamilika ndani ya macho ya mwanaume aliyezama kwenye mapenzi.

Mwanaume anapopenda, hisia zake humfanya amwone mwanamke wake kuwa ndiye mwenye muonekano kamili na wa kuvutia kuliko mwingine yeyote duniani.

Mapenzi yana nguvu ya kipekee ya kufanya kila umbo na muundo wa mwili uonekane kuwa wa kipekee na usio na kasoro.Kwa ujumla, usemi huu unathibitisha kuwa mapenzi ya dhati ndiyo yanayoumba na kufafanua uzuri halisi wa mwanamke, iwe ni wa tabia au wa muonekano wa nje.
Mwanamke anapopendwa na kupenda, anakuwa mrembo wa tabia mbele ya mpenzi wake, na anakuwa mrembo wa umbo ndani ya macho ya mwanaume wake.

Hii inaonyesha kuwa uzuri wa kweli unafumbuliwa na nguvu ya hisia zilizopo kati ya watu wawili.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…