Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

well done gentleman, it's very nice stadi za maisha theory,
naona akili imetulia 👊
 
"Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
Kaka mkubwa ukisikia nimeoa basi nimeoa shape hio tabia nitajua jinsi yaa kuitengeneza mwenyewe kwenye saikolojia ya ubongo wangu, yaan nioe kitu ambacho sikipendi kisa kina tabia nzuri aah hapana sitothubutu kabisa sitaki kubakia sebuleni nataka kubakia chumbani
 
Na sisi ambao hatujapata bahati ya kuambulia chochote kwenye hivyo vigezo ulivyoweka, mnatuweka kwenye kundi gani?
Yaani tumeoa wanawake ambao tabia 0, shape hakuna, bikra nayo hakuna!
 
Mwanamke ni pambo la nyumba, Huwezi kuchukua maua ya mnazi na ukaweka ndani. Naoa mwanamke mwenye mvuto, shape na kila aina ya urembo.

Mwanaume hakikisha unaoa pisi kali, usioe ilimradi umeoa, Oa chombo ya ukweli.
 
Na sisi ambao hatujapata bahati ya kuambulia chochote kwenye hivyo vigezo ulivyoweka, mnatuweka kwenye kundi gani?
Yaani tumeoa wanawake ambao tabia 0, shape hakuna, bikra nayo hakuna!
Bro..!
 
Mwanamke ni pambo la nyumba, Huwezi kuchukua maua ya mnazi na ukaweka ndani. Naoa mwanamke mwenye mvuto, shape na kila aina ya urembo.

Mwanaume hakikisha unaoa pisi kali, usioe ilimradi umeoa, Oa chombo ya ukweli.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…