Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
kwanza upo wapi?
Bado nipo Ulan Bator my dear.......unataka kuja kunitembelea......?
kwanza upo wapi?
Bado nipo Ulan Bator my dear.......unataka kuja kunitembelea......?
Tehe tehe tehe
Ngoja nitafute nauli mjomba
Nikipata ntakuja
hivi na wewe money plunder unaogopa kuachika?shhhh asije sikia ndugu yako..ncje achika mie
Kuna uongo tena kwenye pesa bobuu.......!!!!!!
hivi na wewe money plunder unaogopa kuachika?
bob sambeek au bob nani tena? kwema huko simanjiro?
A real man has balls. If my wife chooses to screw around for money or otherwise, akae akijua nikijua imetoka. But this B.S mwanaume mwenzangu anifuate eti anipe hela to sleep with my wife is a load of ----. Sidhani kama kuna mwanaume anayejitambua anaweza kukubali upuuzi huu.
haya bana nawatakia msimu mwemaSio bob.....ni bobuu.........
Huku Simanjiro ni mfua tu inanyeeeesha......ndio tunapanda viazi sasa.......
i real wish the guy could see the movie
I real reccomend u to watch that move bro
To me the answer is a STRAIGHT NO.
400m/= unasema No?! kwani anaichukua?! au utamu utapungua?! au ataacha doa?!
Maisha yetu ya ndoa hayatakuwa sawa baada ya hilo mkuu.
Hiyo 400m kila elfu ntakayotumia itanikumbusha hiyo deal siku zote za maisha yangu.
Dude I watched the movie when it came out back then. I still think that you can't assign a dollar tag to dignity.
hivi hilo neno hapo gharama yake inazidi 400m!!!!
mchongo kama huo ukija mezani ukiuchomoa ukweli hata wife atakuzunguka atampelekea huyo taita kei yake kwa bei poa..
donlucce: unisaidie hivi demi moore wakati anarejea kutoka kwa yule Don hivi alimwambia yule kapurwa mwenzangu eti alimpa kei tu na moyo ulikuwa kwa msela duh kaazi kweli kweli