Mens' Talk: Indecent Proposal...

Mens' Talk: Indecent Proposal...

Mnaokataa,kwa hyo tubaki na umaskini wetu tu???tunaenda kwa mwanasheria na mkataba kabisaa,chezeya umasikini wewe..ntaomba Mungu anisamehe afterwards

I can guarantee you after the act , hamtaweza kuishi na hayo moyoni mwenu...............

mtaishia kulaumiana na kumwagana tu........
 
I can guarantee you after the act , hamtaweza kuishi na hayo moyoni mwenu...............

mtaishia kulaumiana na kumwagana tu........

we will see a psychologist,marriage councillor etc etc,na honey moon tunaenda upya nkhela si ipoo...getting over smthing is a choice,japo ts easier said than done
 
Dude I watched the movie when it came out back then. I still think that you can't assign a dollar tag to dignity.

Nakuunga mkono kaka no offence but some situations are better not to imagine them trust me acha zitokee ndo utajua maamuz
 
duh watu mna moyo kweli, kwangu mimi kwanza hiyo NO ingetanguliwa na zinga la Gumi!
 
imagine mkifika kwenu mnavamiwa na majambazi wanasepa na mkwanja wote! tehe tehe, sijui mtaomba jamaa apige remix?
 
we will see a psychologist,marriage councillor etc etc,na honey moon tunaenda upya nkhela si ipoo...getting over smthing is a choice,japo ts easier said than done

wala usijidanganye kwa hilo , yaani km bado mnapendanana hamna mpango wa kuachana ni bora msijaribu hiyo kitu kabisa.
 
unaweza kukataa halafu ukasikia msukuma mkokoteni kammega bureeee
 
No...haiwezekani hata kidogo! Na kama nitatokwa na akili nikaruhusu hilo litokee nitakuwa mwanaume wa kwanza kufanya hivyo, unakumbu kumbu nzuri contract waliyosign John Gage,diana murph na woody harrelson ulikuwa wa usiku mmoja ila angalia madhara yaliyotokea baada ya billionare kunogewa na mke wa mtu!

ni kweli mkuu, the consequences were so hectic!
 
hivi hilo neno hapo gharama yake inazidi 400m!!!!

mchongo kama huo ukija mezani ukiuchomoa ukweli hata wife atakuzunguka atampelekea huyo taita kei yake kwa bei poa..

donlucce: unisaidie hivi demi moore wakati anarejea kutoka kwa yule Don hivi alimwambia yule kapurwa mwenzangu eti alimpa kei tu na moyo ulikuwa kwa msela duh kaazi kweli kweli
hahah, mkuu mwisho wasiku wote waligundua bado wana feelana, ila kudadeki jamaa alipata stress za hatari sana
 
yani madafu ya ml 400 niuuze utu wangu na mke wangu!! Hell No!! Hata kwa bei gan au ya nchi gan au kwa kitu gan. Mke wangu ni wangu peke yangu nikila nae ugali chumvi au wali kuku yote sawa. Anikimbie mwenyewe sio mimi kumuuza.
 
Back
Top Bottom