Mene mene tekeli na peresi - Lema

Tafadhari sana Mkuu, tunaomba mseme kitu.

Watanzania tunaumia sana. Kwani si makaratasi tu ndiyo yamewaweka hapo Magogoni? Kwanini wanaonekana ni tofauti na sisi?

Please we need UKUTA, ASAP
Mungu amekupa jibu lako
 
Hakika MUNGU Ni mwaminifu Sana[emoji120]
 
SIO WOTE WAKRISTO . UWE UNABALANCE STORY ZAKO ZA KIDINI '' MBUGE GANI MDINI''; AU KURA ZAKO ZA UDINI''
NCHI HII AIONGOZWI NA BIBLE HII INAONGOZWA NA KATIBA ILIYOTENGENEZWA NA WATANZANIA
Ndio uelewe Sasa andiko lilikuwa Ni lina nguvu ya MUNGU ndani yake .
 
Na kweli haikuwahi tokea ule ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi wameshinda wao 98%

Wapo walipigwa risasi,kura kubebwa kwenye mabegi,wapo waliteswa ,wapo waliolawitiwa yote haya kisa mtu mmoja tu ambaye kwa Sasa Yuko futi 6 chini ya ardhi akinuka .

Wote walishiriki ule udhalimi watalipa kwa hesabu zao mwenzao ashalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…