lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wandugu,
Leo nilivyorudi nyumbani jioni, nilichukua CD lakini nilipotaka kuiweka deki ili niangalie nikaghairi kwanza baada ya kuhisi kuna kitu ndani ya deki. Kumbe kulikua kuna mende ndani ya deki nilipowasha deki na TV ili kuhakikisha mara mende akatokea kwenye TV anatembea tembea si alikua ndani ya deki kwa hiyo akawa kama CD.
Wakuu wa ICT njooni mtueleweshe kuhusu hii kitu.