Hizo bangi za kuvutia chooni acha kwa ushauri tembelea milembe.Wandugu,
Leo nilivyorudi nyumbani jioni, nilichukua CD lakini nilipotaka kuiweka deki ili niangalie nikaghairi kwanza baada ya kuhisi kuna kitu ndani ya deki. Kumbe kulikua kuna mende ndani ya deki nilipowasha deki na TV ili kuhakikisha mara mende akatokea kwenye TV anatembea tembea si alikua ndani ya deki kwa hiyo akawa kama CD.
Wakuu wa ICT njooni mtueleweshe kuhusu hii kitu.
Bangi bila kula ni mbaya sana
huyu na yule mtamusana hawana tofauti kabisa
"Home" kwenu ni wapi? unaishi na nani?
"Home" kwenu ni wapi? unaishi na nani?
"Home" kwenu ni wapi? unaishi na nani?
Faiza karibu tulale
MpWaaa puliziA Tv Doom unAeza kuTa kuNa kunGuni pia kWenYe deki hiyo.Wandugu,
Leo nilivyorudi nyumbani jioni, nilichukua CD lakini nilipotaka kuiweka deki ili niangalie nikaghairi kwanza baada ya kuhisi kuna kitu ndani ya deki. Kumbe kulikua kuna mende ndani ya deki nilipowasha deki na TV ili kuhakikisha mara mende akatokea kwenye TV anatembea tembea si alikua ndani ya deki kwa hiyo akawa kama CD.
Wakuu wa ICT njooni mtueleweshe kuhusu hii kitu.
Ohh, si zinazaa hizo TV na Deki na hao ndiyo watoto wake, sasa watunze wakikuwa na wao watazaa deki na TV zingine.