Mende aonekana kwenye screen ya TV

Mende aonekana kwenye screen ya TV

Jamii forum have got a lot of people who can make every body to laugh even when your ready to accept delighting
 
Jamii forum makes my life last long I don't even want to think how can cocroach entering through the deck and seen on top of the screen is too amaizing
 
Wandugu,

Leo nilivyorudi nyumbani jioni, nilichukua CD lakini nilipotaka kuiweka deki ili niangalie nikaghairi kwanza baada ya kuhisi kuna kitu ndani ya deki. Kumbe kulikua kuna mende ndani ya deki nilipowasha deki na TV ili kuhakikisha mara mende akatokea kwenye TV anatembea tembea si alikua ndani ya deki kwa hiyo akawa kama CD.

Wakuu wa ICT njooni mtueleweshe kuhusu hii kitu.
Teh Teh..Aiseee nusu nivunjike mbavu aisee jf kuna watu waina yake daaa..nimecheka sana..
Cc Mwl Evelyn Salt
 
Wandugu,

Leo nilivyorudi nyumbani jioni, nilichukua CD lakini nilipotaka kuiweka deki ili niangalie nikaghairi kwanza baada ya kuhisi kuna kitu ndani ya deki. Kumbe kulikua kuna mende ndani ya deki nilipowasha deki na TV ili kuhakikisha mara mende akatokea kwenye TV anatembea tembea si alikua ndani ya deki kwa hiyo akawa kama CD.

Wakuu wa ICT njooni mtueleweshe kuhusu hii kitu.

Alafu nilipoanza kusoma hii post nikafika katikati nikahisi haya mawazo yanafanana na ya jamaa namjua, nikarudi juu kuangalia ID kweli ndo yeye lukelo sakafu
 
Kweli hii ni habari mchanganyiko kutoka sakafuni mwa lukelo.
 
Kwel lukelo uko vizuri maana umeshika vichwa vya watu kwa mshangao na vicheko kwel umejaliwa kipaji mkuu hapa mbavu znauma kila nkikumbuka nacheka tu
 
Wandugu,

Leo nilivyorudi nyumbani jioni, nilichukua CD lakini nilipotaka kuiweka deki ili niangalie nikaghairi kwanza baada ya kuhisi kuna kitu ndani ya deki. Kumbe kulikua kuna mende ndani ya deki nilipowasha deki na TV ili kuhakikisha mara mende akatokea kwenye TV anatembea tembea si alikua ndani ya deki kwa hiyo akawa kama CD.

Wakuu wa ICT njooni mtueleweshe kuhusu hii kitu.
Inabidi ukaombewe, sio bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom