- Thread starter
- #21
Kwa bajeti hiyo nakushauri ununue pafyumu zifuatazo:-
1.YOLANDA
2. YU
3. LEDI GEI.
hehehe.. izo ndio shemeji yangu anatumia nini?
Kwa bajeti hiyo nakushauri ununue pafyumu zifuatazo:-
1.YOLANDA
2. YU
3. LEDI GEI.
Huwezi kuamini ila mie ninazo PERFUMES nzuri sana za KIKE na KIUME.
Kwa bei hiyo utapata Perfume nzuri kabisa MADE IN EUROPEAN UNION na tuna kibali kabisa kutoka kiwandani na unaweza hata kuwaandikia baadaye kuhakikisha kama kweli sisi ni WASAMBAZAJI WAO kwa Tanzania.
Ngoja nikuwekee Tangazo langu hapo chini:
Dada yangu anauza Perfumes kwa sasa. Nashukuru Mungu kuwa wote wanaozijaribu, wananunua palepale. Wengine wananunulia hadi ndugu zao au rafiki zao. Bei zetu za juu ni Sh.30,000 kwa chupa ya Ml.100 kama unataka tukuletee (Kwa Dsm tu), Sh.25,000 ukija kwetu au maeneo ya mjini, na Sh.20,000 kwa bei ya jumla. Bei ya jumla tunaanzia chupa 10 kwenda juu (+ gharama za usafiri). Zilizobaki nyingine ni chini ya hiyo bei. Ukiangalia hapo, utaona kuwa ni bei nzuri sana kwa Perfumes ambazo ni Original na zimetengenezwa ndani ya European Union.
Karibuni wenye maduka, wauzaji rejareja ofisini na watumiaji wa kawaida. Kuna baadhi tayari zimeisha, hivyo wahi ujipatie kwani kwa sasa ni Promotion Price. Mzigo utakaofuata, bei kidogo zitapanda. Tuwasiliane +255717283199 (Neema)
Kwa bajeti hiyo nakushauri ununue pafyumu zifuatazo:-
1.YOLANDA
2. YU
3. LEDI GEI.
Tangazo halijitoshelezi, weka brand name ya hizo perfume...hapo ndio tutajua kwa hiyo bei uliyoitaja ni sawa au lah!
Hapo unaanza kwanza kuogea sabuni ya GIV
Kwa hiyo hela labda ununue deodorant!!!
...HIvi ONE MAN SHOW na ROYAL MIRAGE zimeishia wapi? Binafsi kuna wakati nilikuwa nikiitumia sana hii Royal Mirage. Imetulia sana na kuna siku moja moja pia huwa najikumbushia...!
jaribu KNOWLEDGE au UDV au BLUE FOR MEN...bei si kubwa na harufu yake iko poa...hakikisha ziwe ni prodycts za Rasas
Kwa hiyo hela ninakuhakikishia utapa bidhaa nzuri sana kwangu. Ila usitegemee kupata BOSS au J'adore maana hawa jamaa hutumie zile OIL PERFUMES za bei juu kidogo ukilinganisha na hizi zangu.
Ila bei hupanda kwa sababu nilizozisema hapo juu. Angalia chupa kama hii, chupa pekee ni $20.
Umenikumbusha mbaali sana mkuu.Kobra.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mkuu i have been luking for this cologne kwenye hiyo picha, wapi nitaweza kuipata kwa Dar es Salaam? maana hata jina lake nilikuwa nimelisahau