Men only!!

Kweli jamani tuwe wakweli!Miaka 3 ni sawa na siku 1095. Wakuu ivi kweli inawezekana hii kitu, na kila siku ukipita kitaa unaona vitu tofauti, dah!Mi nadhani its not possible.
Teh jamaa hapo juu kasema mbona mapadre wanaweza kwanini wengine washindwe???
 
1. Kama unacharge na ni mzima wa afya ni ngumu sana hiyo maana mwili hufanya kazi yake kama kawaida.
2. Gari ulipaki kwa miaka mitatu bila kulistua stua bado unasema una gari? hapo lazima injini iharibike.Haifai tena.
3. Watu wa dizaini hii ni wataalamu wa kujichua.....daily yupo busy na.......
4. Labda uwe mtu wa mazoezi sana au upigwe sindano ya.........hapo mambo yatatulia. Vinginevyo.....
NI NGUMU SANA.
 
Hivi na wewe huwa unaamini?
Akikaa miezi miwili
Labda awe anafanya kazi kama wale wa kusimamia ulinzi wa waogeleaji kwenye swimming pool

Kinakuwa kama kimsumari cha kutundikia nguo za waogeleaji
Chezeiya wanamme wewe
Kumbe mnatudanganya eeeh eti nina miaka mitano i love u so much
wizi mtupu ngoja
 
Hivi na wewe huwa unaamini?
Akikaa miezi miwili
Labda awe anafanya kazi kama wale wa kusimamia ulinzi wa waogeleaji kwenye swimming pool

Kinakuwa kama kimsumari cha kutundikia nguo za waogeleaji
Chezeiya wanamme wewe
dah wangu ana mwaka eti kaokoka kumbe ndo maana ngoja
 
inawezekana mimi ni mmoja wao nimesha kaa porini miaka minne bila hilo tendo ila chupi na mashuka huchafuka mara kwa mara .kazi ngumu na mazoezi is daily formula .
 
1. Kama unacharge na ni mzima wa afya ni ngumu sana hiyo maana mwili hufanya kazi yake kama kawaida.
2. Gari ulipaki kwa miaka mitatu bila kulistua stua bado unasema una gari? hapo lazima injini iharibike.Haifai tena.
3. Watu wa dizaini hii ni wataalamu wa kujichua.....daily yupo busy na.......
4. Labda uwe mtu wa mazoezi sana au upigwe sindano ya.........hapo mambo yatatulia. Vinginevyo.....
NI NGUMU SANA.

Bora useme wazi kabisa hii mambo ni ngumu sana aise
 
Ushauri nenda kwenye kanisa la (walokole) jaribu kuwa interviw alafu njoo na jibu tafadhari
 
Aaaaah wapi haiwezekani kabisa, anayesema anaweza atakuwa na matatizo huyo , mwanaume rijali haswa akae miaka mitatu atakuwa gonjwa si buree! labda akae bila ya kula kwa kipindi chote hicho, jamani nasema labda miezi 3 tena kwa mbinde
 
Wala siyo shida mkuu inategemea tu ulivyojilea. Hayo mbona ndo maisha yangu? If you make it a habit so it will be!!!!!!!
 
Back
Top Bottom