|Zitakuwa umezipaka ***** hatutaki
Kumbe mnatudanganya eeeh eti nina miaka mitano i love u so much
wizi mtupu ngoja
|Zitakuwa umezipaka ***** hatutaki
Haipo kwako...Hiyo haipo, miaka mitatu bila kunanihii...... sijui.
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?
|zitakuwa umezipaka ***** hatutaki
hebu tuzione zina rangi gani?
Kumbe mnatudanganya eeeh eti nina miaka mitano i love u so much
wizi mtupu ngoja
Saa ngapi wanawake tunaruhusiwa kuchangia?
MBONA mapadri na mabruda wanakaa kwa lifetime yote bila kufanya!
MBONA mapadri na mabruda wanakaa kwa lifetime yote bila kufanya!
hivi isaac newton alikuwaje?
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?
Kumbe mnatudanganya eeeh eti nina miaka mitano i love u so much
wizi mtupu ngoja
Asikudanganye mtu, mimi nimebahatika kukaa na hao mabwana wanachapana kwa kwenda mbele, jiulize kwa nini kwenye tasisi zao, kama vile seminari au kwenye parokia ziko enclosed na kuna huduma zote self contained i.e. gesti, baa, hospitali, duka, etc. Waulize masista, mimi kuna mmoja nilimchapa tukiwa chuo pale UDSm, alikuwa ananifuata fuata, ooh, mara twende tukasome discussion, ooh, naomba madesa etc. siku ya siku akaingia line mwenyewe. Jamani nao ni wanadamu na wana hisia kama wengine, acheni uongo.