Men only!!

NOTHING IS IMPOSSIBLE IF YOU PUT ALL YOUR EFFORT ONTO IT.

Play your part well. Good Luck.
 
Kama wewe huwezi,usidhani na wengine,ama wote hatuwezi... Udhaifu wako huo usitushirikishe kana kwamba ni kitu cha kawaida...

hakuna kitu kisichowezekana ni maamuzi tu,binafsi nna miaka 28 now na sijawhi fanya hicho kitu
 
hata ukijifanya haufanyi usiku itakurudia tu, angalau kwenye ndoto lazima utaztoa. Wengne unakuta zmejaa mpaka znachungulia kabisa. Akiguswa kidogo anashituka.
 
Mimi nilishawahi kukaa miaka miwili bila ngono. Sina hakika kuhusu miaka mitatu ila nadhani inawezekana. Unajua ni nini, ni ngumu sana pale mwanzo kama miezi sita hivi lakini ikishakatika hiyo nadhani unaweza kwenda hata miaka kumi.
 
MBONA mapadri na mabruda wanakaa kwa lifetime yote bila kufanya!

Are you serious bro?
Watch them carefully,....
ni alisimia chache sana wanaweza,....na kwa masister asilimia kubwa wanaweza
ila sio wote.
 
Back
Top Bottom