Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,489
- 42,564
kuna ya mtu naitafuta nikiipata naifanya avatarha ha ha really?
kwanini upige picha za x nashangaaga kwa kweli mpenzi ataekwambia nitumie picha yako ya x mwekee shaka sio husband material huyo
Natuma hadi ultra sound
Bado Sijakuelewa..
wahanga utawajua tu
kuna ya mtu naitafuta nikiipata naifanya avatar
Natuma picha ya pauchi hadi uzazi ndano
Na nyie huwa mnawatumia hizo picha wakiomba Kyekue?
yako ili watu waone ina antenna au hainaHa ha nani huyo?
Natuma hadi ultra sound
yako ili watu waone ina antenna au haina
ngoja ni-tune radio nikamate networkYangu inaantena inashika kila kona na ni fasta haina chenga
Ha ha aya bwanaHayo yote mnakuwa mnatumiana vya kazi gani? yaani mwanamke akitumiwa picha ya dushe anafanyia nn au hilo ----, na mwanaume ukitumiwa pich uke mnafanyiaga nini hebu juzeni wengine maana mimi naona hapo mnakuwa mnakula ugali kwa picha ya samaki samahani ndugu zangu wapare
Kujitambua kwa wanawake imekuwa kazi ngumu sana aisee. kwa upande wangu hii naiita tu ni umbumbumbu pamoja na kujifanya mzungu uchwara tu! wakati mwingine mjaribu kuwaiga mabinti wenzenu wanaoishi katika mazingira ya mashambani kule! sidhani kama huo utamaduni upo kwao! Hata kama mmesoma, jaribuni kuchambua kati ya mchele na pumba, kipi kinatakiwa kwenda kupikwa na kingine kwenda kuliwa na kuku bandani...
Tena hawa wanawake wanaojiita wenye elimu ndiyo wanaoongoza kwa kujitwisha zigo hili la picha za XxX !
Hivi mnaringishiana hizo papuchi au?
samahani kama nimetoka nje ya mada!