Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,489
- 42,564
naogopa...ningezima taa!!!
Halafu ilivyo kubwa ungekimbia...
naogopa...ningezima taa!!!
watu wawili waliopendana acha kabisa hauwezi kuwapangia misingi ya kufuata, mwanamume mwenye kumdhalilisha mpenzi wake wa zamani ni mvulana tuhajafikia umri wa uanaume. unapokuwa na mahusiano na mtu mnakuwa tied, unapomdhalilisha kisa mmeachana ni kujidhalilisha wewe, watu wanavyoona dhalili ile wanasema "yule si dem wa flani yule"! ukiona maex wanadhalilishana ujue ni watoto tu.
Habari zenu za asubuhi wapendwa wangu.
Katika kutafakari sana nimejikuta nawaza haya
Kuna baadhi ya mambo unakutana nayo katika mahusiano, hasa pale yanapokuwa moto moto kuna vitu huwa tunafanya kujitoa akili kwa kuwa moyo umezama au kumshawishi mwenzio ili aone upo pamoja naye, ila katika kufanya hayo mambo wakati mapenzi yanaelekea sa kumi jion yani mahaba ni mtafutano unakuta yale mambo yanaonekana kama ni fimbo ya kutuchapia hasa kwa upande wa wanawake.
Ila leo nitazungumzia zaidi kwenye kutumiana picha za utupu kwa wapenzi .
Katika kipengele hiki wanaume ni wepesi sana kutuma madushe yao hata kukuonyesha live madushe yao, sasa mwanaume anapojiachia kutuma dushe.
llake basi hapo unakuta na mwanamke kwa kuwa kapenda anaamua kutuma papuchi yake, nyonyo yake kwa ampendaye .... kinachonifanya nione kuwa hatupo fair hasa upande wa me ni pale wawili hawa watakogombana mwanaume anaamua kutumia zile picha kusamabaza na hata kumwona malaya hafai na a lot of bla bla.
Mimi nimekuja na suluhuu ya hili mwanume akikuomba picha ya papauchi mwambie atume picha ya kalio lake in details, akiomba picha ya nyonyo mwambie atume na yeye dushe, nasema hivi ili mwisho wa siku tuheshimiane jamani wanaume wepesi sana kutuma madushe yao ni kama kawaida.
Mkigombana MWANAUME AKISAMBAZA NA MWANAMKE UNASAMBAZA PICHA ZAKE .Hapo mambo yanakuwa ngoma drooo.
Samahani kama nitakuwa nimekosea ila naonea huruma sana wanawake na vibinti wanaodhalilishwa kwa sababu ya penzi.
Nawapenda wote siku njema.
kwani madushe na mapapuchi yana sura yake? Wewe ukituma papuchi bila sura yako hata akipost mitandao yote nani atajua hili ni papuchi la m2 fulani? I mean ukituma in full body, ndo inaweza kuwa hivo. Ila hv unawezaje kujipiga picha kuanzia kichwan hadi miguuni ulenge maeneo fulani ukiwa plain?
watu wawili waliopendana acha kabisa hauwezi kuwapangia misingi ya kufuata, mwanamume mwenye kumdhalilisha mpenzi wake wa zamani ni mvulana tuhajafikia umri wa uanaume. unapokuwa na mahusiano na mtu mnakuwa tied, unapomdhalilisha kisa mmeachana ni kujidhalilisha wewe, watu wanavyoona dhalili ile wanasema "yule si dem wa flani yule"! ukiona maex wanadhalilishana ujue ni watoto tu.
Sijui wanafayaje kwa kweli
coz hata kama ukiset camera bado haiwezi kutoka vizuri. Ila wewe inakuwaje unasimama necked ili upigwe picha? 4what? Mengine ni kujitakia coz hii ya kupiga full body ni hadi upigwe.
Ni kweli mahaba niue watu wanafanya wewe acha kabisa
Habari zenu za asubuhi wapendwa wangu.
Katika kutafakari sana nimejikuta nawaza haya
Kuna baadhi ya mambo unakutana nayo katika mahusiano, hasa pale yanapokuwa moto moto kuna vitu huwa tunafanya kujitoa akili kwa kuwa moyo umezama au kumshawishi mwenzio ili aone upo pamoja naye, ila katika kufanya hayo mambo wakati mapenzi yanaelekea sa kumi jion yani mahaba ni mtafutano unakuta yale mambo yanaonekana kama ni fimbo ya kutuchapia hasa kwa upande wa wanawake.
Ila leo nitazungumzia zaidi kwenye kutumiana picha za utupu kwa wapenzi .
Katika kipengele hiki wanaume ni wepesi sana kutuma madushe yao hata kukuonyesha live madushe yao, sasa mwanaume anapojiachia kutuma dushe.
llake basi hapo unakuta na mwanamke kwa kuwa kapenda anaamua kutuma papuchi yake, nyonyo yake kwa ampendaye .... kinachonifanya nione kuwa hatupo fair hasa upande wa me ni pale wawili hawa watakogombana mwanaume anaamua kutumia zile picha kusamabaza na hata kumwona malaya hafai na a lot of bla bla.
Mimi nimekuja na suluhuu ya hili mwanume akikuomba picha ya papauchi mwambie atume picha ya kalio lake in details, akiomba picha ya nyonyo mwambie atume na yeye dushe, nasema hivi ili mwisho wa siku tuheshimiane jamani wanaume wepesi sana kutuma madushe yao ni kama kawaida.
Mkigombana MWANAUME AKISAMBAZA NA MWANAMKE UNASAMBAZA PICHA ZAKE .Hapo mambo yanakuwa ngoma drooo.
Samahani kama nitakuwa nimekosea ila naonea huruma sana wanawake na vibinti wanaodhalilishwa kwa sababu ya penzi.
Nawapenda wote siku njema.
Wewe huwa unatuma nini?
ndiyo huwa wanaomba
Mi natumaga tu sms...
Kwa mfano: "mama leo nina hamu na dudu yako, vipi unaweza kuja mara moja ?"
Na nyie huwa mnawatumia hizo picha wakiomba Kyekue?
Mambo mengine naweza sema ni utoto na ujinga (ukosefu wa busara). Niliwahi kuwa na mwanamke flan for like 3+ years tulipendana haijawahi tokea tena but unfortunately tulikuja zinguana tuka break up and i felt really hurt at tha time bila kusahau nilikua na picha zake kibao za utupu. Aliniumiza sanaaa i felt like hakuna sabab tena ya kuishi. Lakini hata siku moja sikuzivujisha zile picha or anything like that, nliendelea kutunza heshima yake. Nacho amini mtu ukimpenda kwa dhati huwez fanya vitu kama hvyo. After three years of breakin up alinitafuta na kuniomba msamaha, i did forgive her cz najua siku zote Mungu hafungui milango yako ya mafanikio kama na ww umewafungia wengine. Since then i've been happy with another woman upto date.