Men are cruel to single women

Men are cruel to single women

Wanawake ndio mnapenda slope. Ukiona mwanaume anatafuta kuoa kwenye slope ana walakini though inaweza kukuangukia.
Wakati mwingine sio kupenda slope, ila umaskini wetu tu na utegemezi. Nikupe mfano, kuna vibinti viwili (hawawezi wakawa sawa kwenye Kila kitu 100%)
A. Beauty+ exposure + manners+ brain+ Cash, hana anayemtegemea

B. Beauty + Exposure+ manners + brain + no cash. . In fact ana utegemezi unaomsubiri nyuma yake.

Utamchagua yupi? Mwenye bonus asiye na bonus?
 
RRONDO my dear wapo wengi mnoooo, tena wakati huu ndio zaidi.
Kwa upande wetu its nature beibiii, Hawa alimkuta Adamu ana kila kitu ndio maana walidumu, hamjifunzi tu??

Kama nakuona comment inayofuata.
Nimesema ukiona mwanamme anaangalia slope kuoa ana walakini, sijasema hamna. Wanaume wa kweli hatuangalii slope, hatujifunzi nini?
 
Hayo ya juu ndo gazeti!

Kama hilo ndilo jibu, basi husisha na kuishi pweke kwake "Sonnet".

"Sonnet" hivi ya "Heaven Sent" (Sijasema ntaangalia Uzuri; bali Mvuto) kama ni ya kweli, hujapata mwanaume wa mvuto kwako uondokane na "single living"
Lile swali lako sijakujibu bado, halihusiani na physical attraction. Na physical attraction sio the only factor ya kuingia kwenye mahusiano Na mtu, ingawa ikikosekana ni tatizo kubwa pia
 
Wakati mwingine sio kupenda slope, ila umaskini wetu tu na utegemezi. Nikupe mfano, kuna vibinti viwili (hawawezi wakawa sawa kwenye Kila kitu 100%)
A. Beauty+ exposure + manners+ brain+ Cash, hana anayemtegemea

B. Beauty + Exposure+ manners + brain + no cash. . In fact ana utegemezi unaomsubiri nyuma yake.

Utamchagua yupi? Mwenye bonus asiye na bonus?
Nitamchagua B.
 
Umenikumbusha nikiwa msingi kuna huyo kaka alikuwa mkubwa darasani alafu la mwisho kila siku, alikuwa anapenda kunitania kwa kuniita 'mchumba', alafu anajua simpendi, basi ndio anazidisha eti we wa kwanza mie wa mwisho yaani tutazaa mtoto ana akili balaaa, aisee nilikuwa simpendiiiii.

Alikuwa hanivutii kuanzia anavyoongea,anavyotembea yaani kila alichokuwa anafanya namuona hovyo kabisa, nilimviziaga na jiwe la kichwa Mungu anisamehe, sijui alishonwa nyuzi ngapi, alafu ndio nikawa nimeamsha balaaa, eti na hivi umenipa jeraha ndio nakuoa tu hivi karibuni, basi ndio nahisi kupasuka kwa hasira, utoto bwana.
Haha mtu asipokuvutia ni mtihani
 
Nimesema ukiona mwanamme anaangalia slope kuoa ana walakini, sijasema hamna. Wanaume wa kweli hatuangalii slope, hatujifunzi nini?
Oooh basi nimekupata. Hamjifunzi kuwa ni kawaida kwa mwanaume kuwa provider kwenye familia? Kwahiyo usione kuwa tunapenda slope jamani, its nature.

Alafu trust me mwanaume anajisikia comfortable akiwa juu ya mwanamke, mwanamke akimzidi inampunguzia kujiamini, ndio utashangaa anakuwa mtu wa kupanik tu hata ukimkosea kosa la kibinadamu tu anaona kama unafanya hivyo kwasababu umemzidi.
 
Umenikumbusha nikiwa msingi kuna huyo kaka alikuwa mkubwa darasani alafu la mwisho kila siku, alikuwa anapenda kunitania kwa kuniita 'mchumba', alafu anajua simpendi, basi ndio anazidisha eti we wa kwanza mie wa mwisho yaani tutazaa mtoto ana akili balaaa, aisee nilikuwa simpendiiiii.

Alikuwa hanivutii kuanzia anavyoongea,anavyotembea yaani kila alichokuwa anafanya namuona hovyo kabisa, nilimviziaga na jiwe la kichwa Mungu anisamehe, sijui alishonwa nyuzi ngapi, alafu ndio nikawa nimeamsha balaaa, eti na hivi umenipa jeraha ndio nakuoa tu hivi karibuni, basi ndio nahisi kupasuka kwa hasira, utoto bwana.
Huyo alikuwa hana hela maana hela imo damuni mwako!
 
Mweeeeeh!!! Yamekuwa hayo!
"atoto": mwenzenu "Sonnet" kaomba msaada 'If you dear reader want to be helpful, maybe you can give us single women some pointers on how and where we can meet available men', msizingue kwa hadithi zaidi ya "facts of life".

Lakini yawezekana wachangiaji humu ni wa aina hiyo hiyo ya "singeli"
 
Wakati mwingine sio kupenda slope, ila umaskini wetu tu na utegemezi. Nikupe mfano, kuna vibinti viwili (hawawezi wakawa sawa kwenye Kila kitu 100%)
A. Beauty+ exposure + manners+ brain+ Cash, hana anayemtegemea

B. Beauty + Exposure+ manners + brain + no cash. . In fact ana utegemezi unaomsubiri nyuma yake.

Utamchagua yupi? Mwenye bonus asiye na bonus?
RRONDO wants it all.
 
Oooh basi nimekupata. Hamjifunzi kuwa ni kawaida kwa mwanaume kuwa provider kwenye familia? Kwahiyo usione kuwa tunapenda slope jamani, its nature.
Tunajua kupenda slope ni nature yenu, ku provide ni nature yetu albeit kwa wake/committed wapenzi wetu. Not to every woman.
 
"atoto": mwenzenu "Sonnet" kaomba msaada 'If you dear reader want to be helpful, maybe you can give us single women some pointers on how and where we can meet available men', msizingue kwa hadithi zaidi ya "facts of life".

Lakini yawezekana wachangiaji humu ni wa aina hiyo hiyo ya "singeli"

Hivi kumbe wewe mwanamke, nilijua dume ati!!

Hivi mbona pointers zishatolewa sanaaa humu, hata sisi (mie my na my dota) tushazitoa, au unatakaje? Basi hebu mpe wewe hiyo unayohisi ni bora zaidi.

Alafu mbona nae nimeona update yake, au haujamsoma tena?
 
Uko sahihi upande wa mwanaume, lakini hapo mwanamke kupenda slope si sawa,ni NATURE/hali halisi...
Unakubali nini unakataa nini?! Mnapenda slope, ila ni nature hali halisi na tunaikubali ndio maana tunawaoa etc.
 
Tunajua kupenda slope ni nature yenu, ku provide ni nature yetu albeit kwa wake/committed wapenzi wetu. Not to every woman.
Tehteh teeeeeh!!! Basi ngoja tu nikuambie haya, ikufariji na hiyo slope yako.
Kwani nani alikuambia uwe commited to every woman jamani?
 
Huyo alikuwa hana hela maana hela imo damuni mwako!
Hahahaaaa!! I was very inocent by that time, hata pesa nilikuwa siijui, hata nilikuwa nikiiokota naipeleka kwa mama atoto. Kwao walikuwa na ng'ombe wengi msukuma yule, tulikunywa sana maziwa.
 
SINGLE MOM SIO VICTIMS, NI TRUE INDEPENDENT WOMEN. THEY DARED THE DEVIL HIMSELF. Mwenyewe mpaka kesho nazeeka tu ujasiri wa kuingia leba sijapata. Kuna vitoto 22, 23 vinaingia leba na kutoka salamaa navitamaniaaa. Wale watu jasiri hatariiii, kumzali mtu hajakuoa aiseeeee. Afu wengine sijui ndo ushababi wa lebaaa, anamzalia mtu hana lolote, yaani hamna hamna.

Atleast kuna shoga zangu hao walizaa penyeweeeee. Na walizaa wadogo 20yrs. Sema wamezaa sehemu za maana, hawaijui kodi, umeme, gesi, wala bei ya chupi sio zao sio za watoto. Kila kitu wanalelewa. Ukisikia uzazi mtaji ndo kama huu. Yani ada hawaijui, wanachagua shuleee tu za kusomeshewa. Wamelengaaaa haswaaa.

Mmoja mwaka jana kaolewa na kajamba nani, anakunya kunyaaaa sio kitoto. Mwanaume suruali (NA HAWA NDO WAOAJI UMSAIDIE UGUMU WA MAISHA KUMBE JE) Ananiambia Lara nanyanyasika, yaani nanyanyasikaaa sio kidogooo. Chupi inanibanaaaaa. Nanunua mpaka pampers, mpaka bei ya bambino naijuaaa sio masiharaaa. Yaani nawaza japo wote wanangu ila gap la maisha kati yao sijui naliziba vipi. Manake huyu wa kiume yupo IST wahaya wale wana mapesa huyu wa kike ataisoma namba.

Hii dunia hii....
 
Back
Top Bottom