Men are cruel to single women

Men are cruel to single women

Truth be told...nani asipenda kuoa/kuolewa penye unafuuu..
Nimeipenda hii,.ndoa Ina uwezo wa kubadilisha dira ya maisha yako kabisaa,au kukudidimiza kabisaa, unless km mtu una mpango wa kutoka..
Huwa watu wanapenda kujifariji tu ila ukweli utabaki kuwa kila mtu anapenda kuoa/kuolewa penye nafuu. Basi tu mambo tafrani inabidi wakati mwingine ukubaliane na uhalisia wa mambo.
 
Maswali yangu yafuatayo bado ni la msingi:
BEFORE 26 YEARS (young, sexy and lovely) you have been in several relationships and yet you were not able yo hold onto one. Now you feel time for marriage is no longer very friendly, but:

1) what is in a marriage?
2) How can you make your marriage lively?

Honest answers to the two fundamental questions, light up the dark marriage tunnel.

Hili swali unalipenda? Bado tu haujapata majibu yake?
 
Niliuliza swali awali "what makes a man a suitable husband material?"

Hayo uliyotaja hapo juu siyo ya mwanaume wa kutanua naye tu?

aisee kila mtu ana standards zake za husband material. Usichanganye "Uzuri na Mvuto". Sijasema ntaangalia Uzuri; bali Mvuto. Mwanaume anayenivutia mimi sio lazima awe mzuri machoni pa watu wengine, akinivutia me mkewe inanitosha hata kama ni mbaya machoni pa watu wengine. Let's be honest, wengi wetu mahusiano yetu yanaanzia kwenye physical attraction; mtu anakuvutia then ndo unasema ngoja nimtongoze. Ushawahi Kuwa na mtu asiyekuvutia, hutoruhusu akushike mkono, let alone kuonekana naye mbele za watu, ndo upate picha unalala naye for the rest of your life. Upendo kati ya mke na mume una physical attraction. kitakachokuvutia kwake ni siri yako
 
Huwa watu wanapenda kujifariji tu ila ukweli utabaki kuwa kila mtu anapenda kuoa/kuolewa penye nafuu. Basi tu mambo tafrani inabidi wakati mwingine ukubaliane na uhalisia wa mambo.
Wanawake ndio mnapenda slope. Ukiona mwanaume anatafuta kuoa kwenye slope ana walakini though inaweza kukuangukia.
 
Dada zetu mnalikwepa sijui kwa nini!

Utaweza kuchagua nazi kama hujui unahitaji kwa mapishi gani!
Swali gani tumekwepa sasa? Mie uliniuliza na nilikujibu, kuhusu husband material kila mmoja ana standard zake km vile mnavyotofautiana kwenye wanawake, kuna mtu anaangalia tarko tu........
To me anivutie kiakili na kimuonekano, alafu asiwe mbali na Mungu.
 
Wanawake ndio mnapenda slope. Ukiona mwanaume anatafuta kuoa kwenye slope ana walakini though inaweza kukuangukia.
RRONDO my dear wapo wengi mnoooo, tena wakati huu ndio zaidi.
Kwa upande wetu its nature beibiii, Hawa alimkuta Adamu ana kila kitu ndio maana walidumu, hamjifunzi tu??

Kama nakuona comment inayofuata.
 
aisee kila mtu ana standards zake za husband material. Usichanganye "Uzuri na Mvuto". Sijasema ntaangalia Uzuri; bali Mvuto. Mwanaume anayenivutia mimi sio lazima awe mzuri machoni pa watu wengine, akinivutia me mkewe inanitosha hata kama ni mbaya machoni pa watu wengine. Let's be honest, wengi wetu mahusiano yetu yanaanzia kwenye physical attraction; mtu anakuvutia then ndo unasema ngoja nimtongoze. Ushawahi Kuwa na mtu asiyekuvutia, hutoruhusu akushike mkono, let alone kuonekana naye mbele za watu, ndo upate picha unalala naye for the rest of your life. Upendo kati ya mke na mume una physical attraction. kitakachokuvutia kwake ni siri yako
Kama ulikuwa akilini mwangu, thats why yo my dota.
 
Wanawake ndio mnapenda slope. Ukiona mwanaume anatafuta kuoa kwenye slope ana walakini though inaweza kukuangukia.
Sio kupenda slope mkuu...ni NATURE,. Mume ndo provider wa familia na heshima yake inakuja kutokana na jukumu hilo... Mke ni mlezi/msaidizi wa mume ieleweke sio slope,
Hehhe hapo nimeendeka kimaandiko kabisa /the traditional approach, I like this approach sio coz of slope ila nafsi ya mwanamke imeumbwa hivyo kuwa mlezi wa familia /mke
Na nafsi ya mwanaume I believe mmeumbwa hivyo kutake care /kuprovide/kulinda mke,family na watoto nk
 
aisee kila mtu ana standards zake za husband material. Usichanganye "Uzuri na Mvuto". Sijasema ntaangalia Uzuri; bali Mvuto. Mwanaume anayenivutia mimi sio lazima awe mzuri machoni pa watu wengine, akinivutia me mkewe inanitosha hata kama ni mbaya machoni pa watu wengine. ... Upendo kati ya mke na mume una physical attraction. kitakachokuvutia kwake ni siri yako

kumbe alishaliuliza, nilikuwa najiandaa kushusha gazeti eti

Hayo ya juu ndo gazeti!

Kama hilo ndilo jibu, basi husisha na kuishi pweke kwake "Sonnet".

"Sonnet" hivi ya "Heaven Sent" (Sijasema ntaangalia Uzuri; bali Mvuto) kama ni ya kweli, hujapata mwanaume wa mvuto kwako uondokane na "single living"
 
Truth be told...nani asipenda kuoa/kuolewa penye unafuuu..
Nimeipenda hii,.ndoa Ina uwezo wa kubadilisha dira ya maisha yako kabisaa,au kukudidimiza kabisaa, unless km mtu una mpango wa kutoka..
Umaskini sio sifa useme kwamba ntapendwa kisa sina hela. Nikimpenda mtu while inaonekana kabisa hali yake tete, apeche alolo jua tu kuna some "X factors" ndani yake + he has a promising future. Kama ambavyo kuna vitu vinaweza vikanifanya nimuache mtu pamoja na pesa zake, basi kuna vitu vinaweza nifanya nimpende mtu pamoja na umaskini wake. Lakini sio kwa sababu kuu kwamba ni maskini. umaskini si kitu kizuri kabisa. Kila mtu anatamani awe na uhakika na kesho yake, basi tu ndo vile.
Huwa watu wanapenda kujifariji tu ila ukweli utabaki kuwa kila mtu anapenda kuoa/kuolewa penye nafuu. Basi tu mambo tafrani inabidi wakati mwingine ukubaliane na uhalisia wa mambo.
 
aisee kila mtu ana standards zake za husband material. Usichanganye "Uzuri na Mvuto". Sijasema ntaangalia Uzuri; bali Mvuto. Mwanaume anayenivutia mimi sio lazima awe mzuri machoni pa watu wengine, akinivutia me mkewe inanitosha hata kama ni mbaya machoni pa watu wengine. Let's be honest, wengi wetu mahusiano yetu yanaanzia kwenye physical attraction; mtu anakuvutia then ndo unasema ngoja nimtongoze. Ushawahi Kuwa na mtu asiyekuvutia, hutoruhusu akushike mkono, let alone kuonekana naye mbele za watu, ndo upate picha unalala naye for the rest of your life. Upendo kati ya mke na mume una physical attraction. kitakachokuvutia kwake ni siri yako
Umenikumbusha nikiwa msingi kuna huyo kaka alikuwa mkubwa darasani alafu la mwisho kila siku, alikuwa anapenda kunitania kwa kuniita 'mchumba', alafu anajua simpendi, basi ndio anazidisha eti we wa kwanza mie wa mwisho yaani tutazaa mtoto ana akili balaaa, aisee nilikuwa simpendiiiii.

Alikuwa hanivutii kuanzia anavyoongea,anavyotembea yaani kila alichokuwa anafanya namuona hovyo kabisa, nilimviziaga na jiwe la kichwa Mungu anisamehe, sijui alishonwa nyuzi ngapi, alafu ndio nikawa nimeamsha balaaa, eti na hivi umenipa jeraha ndio nakuoa tu hivi karibuni, basi ndio nahisi kupasuka kwa hasira, utoto bwana.
 
Sio kupenda slope mkuu...ni NATURE,. Mume ndo provider wa familia na heshima yake inakuja kutokana na jukumu hilo... Mke ni mlezi/msaidizi wa mume ieleweke sio slope,
Hehhe hapo nimeendeka kimaandiko kabisa /the traditional approach, I like this approach sio coz of slope ila nafsi ya mwanamke imeumbwa hivyo kuwa mlezi wa familia /mke
Na nafsi ya mwanaume I believe mmeumbwa hivyo kutake care /kuprovide/kulinda mke,family na watoto nk
Kwa maana ingine unasema niko sahihi.
 
Sifa kuu ya kwanza ya mwanaume ni provider then zile mbili zinafuata
 
Umaskini sio sifa useme kwamba ntapendwa kisa sina hela. Nikimpenda mtu while inaonekana kabisa hali yake tete, apeche alolo jua tu kuna some "X factors" ndani yake + he has a promising future. Kama ambavyo kuna vitu vinaweza vikanifanya nimuache mtu pamoja na pesa zake, basi kuna vitu vinaweza nifanya nimpende mtu pamoja na umaskini wake. Lakini sio kwa sababu kuu kwamba ni maskini. umaskini si kitu kizuri kabisa. Kila mtu anatamani awe na uhakika na kesho yake, basi tu ndo vile.
Ndio hivyo dota, hii bonus yako ni ya muhimu mnoo asikuambie mtu.
 
Back
Top Bottom