Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,410
- 176,317
There goes my dotaSwts naomba tu nikupinge ulichokiongea.
Kutuambia kwamba tukifika 26 tumbebe tu yeyote atakayekuja, that's a big NO kwangu, na sitomshauri mtu awe desperate kwa sababu ya age. What is miaka 26 bana? ?? Afu sielewi why mnaconsider as if kumuoa mwanamke ni kama kumpa offer sijui ni favor ambayo hatakiwi aikatae. Kwamba ukifika tu HS nataka nikuoe basi me naitikia tu kwa shangwe "Ahsante baba angu" shaaa. Mpaka umekuja kwangu, una vigezo vyako vilivyokufanya unichague mimi, so usubiri tuone kama na me vigezo vyangu vitakuchagua wewe. Ndoa ni mutual agreement as far as i'm concerned. Na sioni tatizo mtu akiwa "choosy" as long as anajua what she really needs. (Wants Vs Needs). Kuna vitu ni vyema mtu acompromise na kuna vingine si vya kucompromise, visije vikakutesa huko mbeleni
Cha msingi mtu akifikia stage amejua nini kusudi lake ndani ya ndoa, na amempata mtu "wanayeoana" na kusudi lao, basi asichezee nafasi hiyo. Ila akiona mtu haeleweki, kwa kweli akatae tu. What matters the most to me sio kuolewa, Ila ku-last kwenye ndoa. It's of no use niolewe leo, Afu after week narudi ndoa imenishinda, ooh mwanaume ana A, B, C. Ni kweli sikuona mapema kuwa hatuendani au niliconcentrate tu na kuitwa "mke", jamii isininyoshee vidole kwa kuwa umri umeenda? ? I aint in a rush or desperate for marriage , I simply need a good lasting marriage, na ntaisubiria tu no matter how long it takes. Above all msisahau, everything happens in God's perfect time. Hata wanawake wote tungekuwa sawa kwa kila kitu, kila mtu angeolewa siku yake. Yes kuna walio-mess up, na kuna ambao wanasubiri tu siku zao zifike. Kwa hiyo nikifika 40s na bado single, haimaanishi nina matatizo sana teh
Hivi ungekurupuka huyu mfilipino wako ungemtoa wapi? Si ungesikia maneno ya watu kuwa hayo yapo kwenye tamthiya tu, kumbe tamthiliya zinaigiza maisha ya watu.
Khaaah, na watuwache tuchague, nikifikisha 40 bila bila nahamia kwa dota wangu nikamvuruge
