Men are cruel to single women

Men are cruel to single women

Kwa Lugha Uliyoandikia Just Go To America,UK,Or Canada Or Australia Na Utapata Bwana. Kibongobongo Wacha Tukuogope
Kwa iko kizungu chake, kibongo bongo tutakaanaye mbali tu kwasababu hakuna namna, sisi si watu wa sport sport.
 
Kama you cant feel umejuaje hakuna maumivu kama hayo???
Kutokuwaona hawana ugomvi haimaanishi hawana stress, stress zipo kila mahali, uwe umeolewa/umeoa au laa. Ndugu sio wachache hata, soma hata mostly ya threads humu utagundua.

Na simaanishi kuwa ndoa zote ni stress, pia sio wote walio single wana stress, inategemea na unauchukulia vipi huko kuwa single kwako. Kitu ni kibaya kama mawazo yako yameamua kuyachukulia kwa ubaya.
Conclusion... huna sababu ya kujitetea kwamba haupo kwenye ndoa kwasababu eti wana stress... ama nini,

stress ya kukosa mwenza hua n abnormal stress

Tatizo kwenye ujana wenu hua mnanata sana, ukisha wapiga mkono sasa, ndio kasheshe inapoanza
 
Nimesoma sana hapa na mimi naomba nitie kucha kidogo kwenye huu upele

kinadada ambao wamefika 30's bila kuolewa kifupi wengi wao ni wazuri kuliko mamia walioolewa wakiwa 20's kwa hiyo kutokuolewa kwao tatizo sio kwamba wao sio wazuri.

Maringo was the Damn Fucking reason inayowacost Imagination kibao uongo hadithi za saloon na kuishi maisha ya movie kutaka wanaume Gents kama James St Patrick kumbe wale wapuuzi wanaigiza tu.

Mwanaume anakuja anataka kukuoa hutaki kumkubalia ukimngoja Denzel asiyekuja ukifika 33 unaanza kulia lia.

Sikieni wadada ukifika 26 acha kuchagua chagua sana na pokea his soul and mind matterial zinakujaga tu kama akili ipo kichwani.

Wasichana waliowahi kuwakataa kina Wizkid wakati huo akiwa ojuelegba wanalia sasa hivi na wanaume akishapata chapaa hua arudi tena kutafuta msichana Mbagala wakati kuna kina Huddah Big Sweet Booty!
Wacha we!!! Sasa si unaangalia na material zinazokuja!! Vitu viko empty kichwani unaanzaje kwa mfano!! Eti kisa benny atanionaje?

Ila ushauri mzuri cha msingi angalia na material inayokuja, sio ujizolee tu ilimradi na wewe uolewe.
 
Endelea angalia material tu, kila weekend utakua unapata card za mwaliko ukacheze kwaito kwa wenzio
 
Conclusion... huna sababu ya kujitetea kwamba haupo kwenye ndoa kwasababu eti wana stress... ama nini,

stress ya kukosa mwenza hua n abnormal stress

Tatizo kwenye ujana wenu hua mnanata sana, ukisha wapiga mkono sasa, ndio kasheshe inapoanza
Wapi nimesema kuwa sijaolewa kwasababu naogopa atress za kwenye ndoa? Uliniaoma ukanielewa kweli???
Hilo hata akilininmwangu halipo dogo.
 
You said "hata kwenye ndoa stress zipo" au hukusema hvyo... hii unaitumia kama moja ya excuses zako

najua hujaolewa sababu huenda hujapata mwenza au ulipata lakn hakua amefikia maisha ya kifilipino
 
Wacha we!!! Sasa si unaangalia na material zinazokuja!! Vitu viko empty kichwani unaanzaje kwa mfano!! Eti kisa benny atanionaje?

Ila ushauri mzuri cha msingi angalia na material inayokuja, sio ujizolee tu ilimradi na wewe uolewe.

Yeahh kama ni masikini na kichwa kitupu piga chini lakini wakati mwingine mnazingua sana unakuta binti anamkataa jamaa sababu ya umasikini tu.

Kuna wanaume kibao kichwani
wapo vizuri sana basi hawajapata nafasi fursa ya kusimama hiyo ni matterial ipokee ipo siku inakutoa.
 
Wasichana waliowahi kuwakataa kina Wizkid wakati huo wakiwa mbaya Ojuelegba wanalia sasa hivi na wanaume tulivyo washenzi sasa (sio wote) tukishapata chapaa hua haturudi tena nyuma kutafuta msichana Mbagala wakati kuna kina Huddah Big Sweet Booty!

That would be so "cruel".
 
You said "hata kwenye ndoa stress zipo" au hukusema hvyo... hii unaitumia kama moja ya excuses zako

najua hujaolewa sababu huenda hujapata mwenza au ulipata lakn hakua amefikia maisha ya kifilipino
Hebu kuwa muelewa basi hata kidogo dogo, ulisema ambao hawajaolewa ndio wana stress na walio kwenye ndoa ndio hawana stress, ukatolea mfano wazazi wako.

Ndio nikakuambia, kuwa kwenye ndoa hakukufanyi usiwe na stress na walaaaa haihusiani na mimi kutokuolewa, nitaolewa tu muda sahihi ukifika, mie sio muoga wa kuangalia only the negative version of something.
 
Yeahh kama ni masikini na kichwa kitupu piga chini lakini wakati mwingine mnazingua sana unakuta binti anamkataa jamaa sababu ya umasikini tu.

Kuna wanaume kibao kichwani
wapo vizuri sana basi hawajapata nafasi fursa ya kusimama hiyo ni matterial ipokee ipo siku inakutoa.
Mkwe wanawake werevu wanafall kwa man's brain, hujawahi kuona ile mtu anamgandaaaa mwanaume na hana chochote hadi unashangaa huyu anapata nini hapa!!! Kumbe ashaona hapa kuna kitu kizuri ahead.
 
Hebu kuwa muelewa basi hata kidogo dogo, ulisema ambao hawajaolewa ndio wana stress na walio kwenye ndoa ndio hawana stress, ukatolea mfano wazazi wako.

Ndio nikakuambia, kuwa kwenye ndoa hakukufanyi usiwe na stress na walaaaa haihusiani na mimi kutokuolewa, nitaolewa tu muda sahihi ukifika, mie sio muoga wa kuangalia only the negative version of something.
sikusema ambao wameolewa hawana stress, mfano wa wazazi sikuuleta kwasababu nimeleta, nilileta kama mfano wa kujb hoja yako

Nilicho kisema n kua "Hakua stress mbaya kama stress ya ndoa" baasi
 
Kiruuuu!!! Haya.
 
Mkwe wanawake werevu wanafall kwa man's brain, hujawahi kuona ile mtu anamgandaaaa mwanaume na hana chochote hadi unashangaa huyu anapata nini hapa!!! Kumbe ashaona hapa kuna kitu kizuri ahead.
Kweli mkwe na wanawake wa namna hiyo wapo wachache sana wengi wanafall in swaggs, six-pack and all that wakishtuka jioni jua linazama.
 
Back
Top Bottom