Men are cruel to single women

Men are cruel to single women

"lara 1; mbona mifano ulitoa inapingana na hoja yako hapo juu!"

SINGLE MOM is a victim of her own making just same as "Sonnet's case" we are discussing.

Why should a girl fall into a love trap!

Why the well to do women live single!

ARE MEN TO BLAME?

falsafa yangu ya maisha ni kwamba "nime ingia dunia mwenyewe na nitatoka dunia mwenyeww, hivyo maisha ni yangu mwenyewe pale ninapoanza kutambua mabaya na mazuri".

SIO VICTIMS NAKATAAAA. Kama hawa hawakuzaa zaa labda walibakwa au vipi. WALI DATE NA BABY DADDYS WAKAISHI KABISAA SEMA VIKAGOMAAAA. Jamani sio vyote vina click, vyengine vinagomaaaa. Sasa kama maelewano hamna ingekuwa kwao wana dhiki wangevumilia kuishi kwa maombi ya kukesha kanisani sababu ndo imebidi ila they had options.

Wakaachana na wazazi wenza, they got to keep their homes, baby dady wapo na wapo active play dates, meetings, ada, kodi matumizi kila kitu wanahudumiaaa. Ila ndo kuzini kila mtu anazini pengine.

HIO MTU UKIZAA NAE LAZIMA UDUMUA NAE SIO KWELI, HATA NDOA WATU WANAOANA MIAKA 20 INAFIKA MAHALI WANAAMUA IMETOSHA KILA MTU ANASEPA KWAKE.
 
We kuzaa na watu maana dili kama nini hujagundua tu. Kama huyo ambae bado hajaolewaaa. Anakula bata hatari. MSHAHARA WAKE ANACHEZEA TU. Hana kaziiii nao, kila kitu babydady anasimamia show. Wakwe, mawifi. Na baby dady alivooa kazaa midume tupuuu shoga tu ndo alimzalia katoto ka kike. ILE NAYO BAHATI MAISHANI.

Yani katili, afu ana moods, na kisirani hatariii ila ushoga nae siachi ngooo. Sababu ya baby dadyy! HAHAAAAA. Mtu anakwambia nikusindikize China, nikubebe KGS. Aaaaah! Au nimsindikize South Africa December, anaogopa kwenda mwenywe. WEEEE SHOGA WA HIVO UTAMPATA WAPI MJINI HAPA.

Yani she changed my all perspctive being a single mom. Akijichanganya mjinga yoyote mwenye fedha zake namzali fastaaa.

AFUU UZEE UNAKUJAAA, NDO KUANZA KUZAA NA MIAKA 40 UNAKUTANA NA WANAO LEBA. Hahahaaa! Wenzangu hawana steress wana watoto wakubwa 6 yrs, 7 yrs wana pressure ya nini. Hata wasipoolewa wana watoto.

IMPACT YA KUTOKUZAA UTAINOA 40YRS UNAPOKUWA MUME HUNA NA MTOTO HUNA. HAHAAA. NA NDO UNAPOZAA NA MDOGO WAKO.
Aisee good luck for that. Kuiga kunya kwa tembo nehiiii!!!
Ukibahatika its okey ukilivamba pia tupe feedback, nitakusindikiza China
 
Aisee good luck for that. Kuiga kunya kwa tembo nehiiii!!!
Ukibahatika its okey ukilivamba pia tupe feedback, nitakusindikiza China

NOTHING HAS TO DO WITH BAHATI NI KUWA STRATEGIC TU. We unafikir hawa wana bahati au walicheza kama pele kujizalisha fasta fasta. Mjini hapaaa.

NA USIPOZAA UKAFIKA 40 HUJAOLEWA UTAFANYAJE? UTAKUFA SINGLE.

BELIEVE ME UKIFIKA 40, SINGLE MOM IS MORE VALUABLE THAN KIGOLI MZEE. Maana umri huo meeting ni play dates, vikao vya shule kila mtu busy na wanae, na wewe mayai ulilia chips yoote.

Yaani mwenzenu labda niwe MGUMBA ila 30 haigongi sina mtoto. Hata iwejeeeee, hio nadhiri nimejiwekea. Kamoja tu kadawa. Kuja kukimbizana leba na wanangu maana hawa wenye 7 yrs si wanangu kabisaaa nikiwa 40 naingia nao leba. Akhaaaaaaaaaaaaa.
 
SIO VICTIMS NAKATAAAA. Kama hawa hawakuzaa zaa labda walibakwa au vipi.

HIO MTU UKIZAA NAE LAZIMA UDUMUA NAE SIO KWELI, HATA NDOA WATU WANAOANA MIAKA 20 INAFIKA MAHALI WANAAMUA IMETOSHA KILA MTU ANASEPA KWAKE.

Kwa nini mwanamke, mtu mzima, msomi, na ana kipato cha uhakika anamvulia mwanaume chupi, anapata mimba - ni victim kweli?

Swali langu la msingi: kwa nini mwanamke anaingia kwenye mahusiano ya mapenzi pasipo kuwa tayari na matokeo yake km kupata ujauzito?
 
U may judge an older woman or a single mother but ukasahau malipo ni hapa hapa duniani. (like your sisters or future daughters becoming single mothers too)

Wewe ambae ulikua Judge, Jury and Executioner leo ukaoa a fresh young looking but alas older woman ameji 'sit ntemvu' akahide/ change her birth Certificate or ameji 'Janet Jackson' akahide her baby/ akakuambia the kid ni mdogo wake.
Thus never finding out her real age or knowing she had a child in the past.
 
Always respect yourself as a woman. You attract what you are, so be very mindful of how you’re representing yourself. If you want respect, you must first learn how to respect yourself, first. Attracting negative attention is never a good thing. Be a woman of substance! Be a woman that both women and men respect, admire, and look up to. Don’t disrespect yourself by lowering your standards and accepting just anything that comes your way. It’s okay to be single! If you want a relationship of substance, you can’t keep entertaining people and things that mean you no good. Think about it! It’s all up to you.
married resembles a bird without a nest. Marriage serves as a shelter for anyone who feels lost in the wilderness of life; one can find a partner in life who would share one's joy and sorrow.

(2) The natural sexual desire is both strong and significant. Everyone should have a partner for satisfying their sexual needs in a secure and serene environment. Everyone should enjoy sexual satisfaction in a correct and proper manner. Those who abstain from marriage often suffer from both physical and psychological disorders. Such disorders and certain social problems are a direct consequence of the abstinence of youth from marriage.

(3) Reproduction: Through marriage the procreation of mankind is continued. Children are the result of marriage and are important factors in stabilizing the family foundations as well as a source of real joy to their parents.

A great deal of emphasis has been given in the Holy Qur'an and the Traditions to both marriage and having children. The Almighty Allah states in the Holy Qur'an:

وَمِنْ آيَاتِهِ أَنْ خَلَقَ لَكُمْ مِنْ أَنْفُسِكُمْ أَزْوَاجًا …

"And among His signs is this, that He created for you mates from among yourselves..." (30:21).

So do not complicate your life to be seen.
Girls of today take life for granted, Watu watakuona vipi kama unafaa ikiwa ktk maisha yako unataka kila mwanaume awe kama utakavyo wewe yani um control na umchagulie life style...Badilika vinginevyo utasubiri sana punguza uzungu jichanganye na husbands material sio wale wa samaki samaki ..
 
Kwa nini mwanamke, mtu mzima, msomi, na ana kipato cha uhakika anamvulia mwanaume chupi, anapata mimba - ni victim kweli?

Swali langu la msingi: kwa nini mwanamke anaingia kwenye mahusiano ya mapenzi pasipo kuwa tayari na matokeo yake km kupata ujauzito?

Pasipo kuwa tayari vipi sasa wakati WAMEZAA? hUO NDO UTAYARI WENYEWE. Kuacha matokeo. Waisngeacha kuji enjoy muda ule kuogopa matokeo, huo uboya tu wa kimaisha. TOMORROW WILL TAKE CARE OF ITSELF.
 
NOTHING HAS TO DO WITH BAHATI NI KUWA STRATEGIC TU. We unafikir hawa wana bahati au walicheza kama pele kujizalisha fasta fasta. Mjini hapaaa.

NA USIPOZAA UKAFIKA 40 HUJAOLEWA UTAFANYAJE? UTAKUFA SINGLE.

BELIEVE ME UKIFIKA 40, SINGLE MOM IS MORE VALUABLE THAN KIGOLI MZEE. Maana umri huo meeting ni play dates, vikao vya shule kila mtu busy na wanae, na wewe mayai ulilia chips yoote.

Yaani mwenzenu labda niwe MGUMBA ila 30 haigongi sina mtoto. Hata iwejeeeee, hio nadhiri nimejiwekea. Kamoja tu kadawa. Kuja kukimbizana leba na wanangu maana hawa wenye 7 yrs si wanangu kabisaaa nikiwa 40 naingia nao leba. Akhaaaaaaaaaaaaa.
Be strategic uje ulete mrejesho tu tafadhali kama uleeee wa kukopwa.
Ila kuitwa mama raha jamani, jitahidi upate wako, mwenzio tayari
 
Girl, I think we should not stoop so low as to accept anybody who comes our way even if we have nothing in common with them.
Silently watch and observe him,
-How often does he go to church? (or other place of worship)
-How does he treat you?
-Is he rude, bad mannered and disrespectful to others around him (especially to women,) e.g the waitress serving you food or the askari at the entrance.
-Does he drink alcohol abit too much. (I actually prefer he doesn't drink alcohol at all)
-Don't sleep with him girl. No matter what he says. Even if he calls you "mke wangu" . Hata akikueleza "sema lini nije kujitambulisha" . "Taja mwenyewe tarehe". Once he realises the promise of marriage is not working as you refuse to sleep with him, he will surely disappear. Making way for the right man to come along.
-Before you fall deeply in love do ask him enough questions and carefully read into his answers? They will reveal who he really is.
-Trust your instinct, deep down you know if he is "The One" or the wrong one. Don't ignore that feeling. Not everyman is husband material.
There l said it.
Do you still don't know why you are simgle?!!
 
Kwa nini mwanamke, mtu mzima, msomi, na ana kipato cha uhakika anamvulia mwanaume chupi, anapata mimba - ni victim kweli?

Swali langu la msingi: kwa nini mwanamke anaingia kwenye mahusiano ya mapenzi pasipo kuwa tayari na matokeo yake km kupata ujauzito?
Hili swali nahisi kama umemuuliza asohusika!!!
 
Be strategic uje ulete mrejesho tu tafadhali kama uleeee wa kukopwa.
Ila kuitwa mama raha jamani, jitahidi upate wako, mwenzio tayari

Mimi i am always STRATEGIC MY DEAR. Nilipotoka na nilipo ni tofauti kabisaaa. Wanaonijua nilipotoka wanaelewa. I COULD HAVE BEEN MARRIED, HOPLESS, AND LOST BUT I WAS STRATEGIC. WALIONIPORA MABWANA NA KUOLEWA WOTE WANAJUA AKUNYIMAE MBAAZA KAKUNGUZIA MASHUZI.

NIPO HAPA JF SINCE 2012 NA HUU MDOMO WANGU TENA SAHIVI NI LESS VERSATILE, KAMA KUUMBUKA NINGESHAUMBUKA KITAMBO, TUOMBE UZIMA NITAKUWEPO HAPA HAPAAAAAA KUWAJUZAAA.

Mimi sitaki kuitwa mama na toto halina baba, au baba boya. ALWAYS BE STRATEGIC REMEMBER. Nangoja tu MBINGU ZICHEKE KIDOGO TU NIFANYE YANGU FASTAAAA. Labda yanikute kama ya Wema Sepetu. Mmmmmmhhhhh! Hapo ndo mdomo utakapo komaaa. Ila nitajitutumuaaa kama kawaida. Hajazaaa Oprah itakuwa mie. Nakosaga mnadhani. Hahahaaaaaa.
 
Hahahaaaa!!!! Kweli hukosagi.
Haya mama kila la heri, just live yo life.
 
Linakugusa na wewe kama mwanamke, naamini mnaambizana siri kwa uwazi.

Tunasikia hata chupi mnaazimana!!
Chupi naazimana na nani sasa???

I can be a victim if i want to, if yo cruel to me i'll just ignore you.
 
Kumbe nawe haujaolewa, au hiyo stress ya ndoa uliijuaje?
Ushasema kuwa alipokuja huyo kijana at yo 20's hukujua kama ni mpango wa Mungu au laah!! Sasa kama hukujua kwanini umlaumu mtu?

Hivi hakuna waloolewa at their 20's and below na wanajutia leo maamuzi walofanya??? Haya mambo hayana kanuni ndugu, unaweza mpata kajamba nani mwenzio but mkavurugana hatari, na ukampata alie vizuri ukaenjoy tu maisha.

Huwa mnawaongelea walio vizuri kiuchumi as if ni mashetani fulani, na maisha yao hayana jema.

Acheni watu wapate kitu roho inapenda, alie sahihi kwako atakuja kwa wakati uliosahihi,dont live out of yo standards maana wale wanaomeet standard zako watakufikia tu. Ufake eti kisa umfurahishe fulani, au fulani atanionaje!!! Nehiiii!
Hii unitag kimakosa au?

Kama kimakosa sawa, kama sio kimakosa.. mwanaume wa wapi uliwah ona anaolewa?
 
Kuna post nyingine yenye majibu kwenye mada ya "Sonnet" humu jamvini inaendelea kujadiliwa:

"
Wanawake wa hivyo wapo sana, na karibia wengi huanza hivyo hivyo ila mwisho wa siku wanakutana na mabwana mivurugo wanawavuruga akitoka hapo anakuwa kama yule wa jamaa aloleta mada ya kujinunisha.
 
Atleast you can talk some sense to some of the ladies in here who always try and find who to blame nakushindwa kujiongeza panapo bidi
Blame game haiwezi kuisha ilianza tangu Edeni, na hii iko pande zote, ukimkuta mwanaume anaejua kulalamika utafurahi na nafsi yako.
 
Back
Top Bottom