::Memo for The Boss::

Kukaa karibu na mie lazima uwe unajua kufunga pampazi na kulisha watoto.

Si unamuona anavyofanya fujo hapo mgongoni kwangu.

Anti mi sijaridhika na kazi ulinipangia.
Ningependa niwe great table with Kongosho :disapointed:
 
anakuja na mgeni?
Ndio. Halafu nashangaa Anti hata ahjamtaja katika wageni hapo juu.

Kukaa karibu na mie lazima uwe unajua kufunga pampazi na kulisha watoto.

Si unamuona anavyofanya fujo hapo mgongoni kwangu.
Mi ni mtaalam wa hayo mambo. Hakuna mtoto anae ni-resist.
Vipi, yule mgeni wetu ka-confirm anakuja? Nivae nguo gani?
 
Anakuja, tena nimemtuma mahali mara moja kununua maziwa.

Kaacha na koti lake hapa, uje umbebee.

Thank you soooooo much. Anti akiniuliza
Mwambie naenda kununua maziwa ya cake.
Nitarudi baadae kidogo, with mgeni wetu. lol
 
Mhnn!Very "sophisticated"
Happy B'day Boss.
 
He heee!Mminiweka kitengo cha wauza sura!

Mi napenda mziki sana, anyways ni sawa tu.

The Boss ni very special humu, so i will take the responsibilities kwa moyo mkunjufu ili nisije kuwaudhi warembo "nikatia kitumbua mchanga"
 
Hahahahahaha, I know something, I won't tell. lol. Umeona AshaDii kakupangia kazi?
Heee!Ngoja Boss akuulize, na unajuwa ni B'day yake!lol!

Nimeiona kazi niliyopangiwa, nimeishiwa nguvu, but its fine, i will take it, i like entertaining.Ukaribishaji is part of it.
 
Mdogo wako Hashycool kamchukua mkewe Michelle

Nipo mwenyewe tu, ntafauduje hapo high table.

Nitakaa na Mwali kama hutajali.

ASHADII ..
usisahau...high table viti vya kutosha...
nina nyumba nyingi....lol
KONGOSHO na MICHELLE uwawekee mtu katikati..lol
 
He heee!Mminiweka kitengo cha wauza sura!

Mi napenda mziki sana, anyways ni sawa tu.

The Boss ni very special humu, so i will take the responsibilities kwa moyo mkunjufu ili nisije kuwaudhi warembo "nikatia kitumbua mchanga"
Hahahahaha, umenikumbusha Faiza Foxy. Alimpanga The Boss Mzee wa Vitumbua. In fact I should have used that nick name in the thread, instead of The Boss. lol
 
Parrrrrrrty people....Bwa'Nchuchu in da building

A party ain't a party till I run all thru
Got ma crew in tow and it's gon' be playa proof
After three rounds we gon' blow off this roof

Ain't no party like a BossHog's party
Coz a BossHog's party don't stop
 
hwa ni watoto wa dada ake, nyie acheni kabisa mtaleta laana kwenye ukoo.
Haya, nimeelewa sasa. But kua nao makini, hasa Jackeline. Alitangaza nia yake wazi. lol

Heee!Ngoja Boss akuulize, na unajuwa ni B'day yake!lol!

Nimeiona kazi niliyopangiwa, nimeishiwa nguvu, but its fine, i will take it, i like entertaining.Ukaribishaji is part of it.
Tunaweza badilisha. Naona DJs wote kama wamepotea potea, would you mind organizing the music? Halafu hayo ya sophisticated, nikiulizwa nasema. We hunijui. lol. Kwani nikisema aibu ya nani? :noidea:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…