::Memo for The Boss::

By AshaDii
Upande wa vinywaji you do know your shem, haitwi Kaizer buree....lol (everything under control!)

Hapa Alter itabidi uniruhusu nitoke nikaandae kamati; Nina list kabisa ya hawa wakuwatatuta, acha hawa ambao tupo nao...


Chakula - Karen Happuch, First Lady, Michelle, Lizzy, Cantalisia, Mamndenyi, @Woman of Substance, Mwali

Mapambo - King'asti, sweet Lady, Husninyo, afrodenzi, Belinda Jacob, Zion Daughter, cheusie mangala

Music - Apollo, Batalanta, Smile, Husny, Nyani Ngabu, Preta

Ulinzi - @Uporoto, @Klorokwin, The Finest, RR (not you alter lol), , Paw

Vinywaji - Kaizer, @Klorokwin, @MTM, steeve Dii, queenkami, blacki woman, @Pj

Baunsa - Bigirita, Fang, Memo, MAMMAMIA

Usafiri - BAGAH, Judgement, BAGAH, Smiling Saint, Mphamvu,

Mapokezi - Kigarama, jmushi1, vivian, deejay nasmile, Pet cash, Amyner

Roulette sehemu nyingi zimepwaya.... narudi kujaziliza....lol

ulinipa kitengo kizuri sana,
wale wakubeba wali kwenye mifuko akina mwita25
kwakweli hapa hawaoni ndani kabisa.

ila mimi sitakwenda sokoni hadi mwezi wa 12,
itabidi nihamishie stoo kwangu.
 
Wivu suna, hasa kitu kinapokuwa kinalipa bibieee.

Wakati hajawa King aah walikuwa wanampita, sasa hivi wote wanataka kuhamia kwangu.
Twende kwa Babu ODM tukasheee hadi tuchoke.

Na ilikuwaje sasa,
najua aliyetia wivu zaidi ni kongosho,
hawa wengine sijui maana nao wanajigonga gonga tu.
 
Ujue nasema makusudi ili abebe mabegi yako ayatupe kutoka kwenye hiyo sevanti kota.
Akurudishe kijijini kwa wazazi, yaani umemzimia shemeji yako taa weweeee hadi unataka kufanikiwa.

Hayakuhusu hayo....we hao wa pembeni mbona mie siwataji?? we wajisikia unafuu unapowataja hao?? sambamba na wewe!:rolleyez::hippie:
 
Mpaka nitakapotia kidole kwenye ubavu....

Kaizer, utakuwa umenisaidia sana ukimtia kidole ubavuni huyu
Anaweza akataka kukaa kwako na AshaDii

ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa.....kujigonga kwa unayempenda ni raha sana...Kongosho zididsha wivu my dear,hiyo ndo yatupa chachu wenzio....!!

Mjue siku hizi natembea na kichupa cha tindikali, ntakayemkuta anamwongelesha mimi na yeye.

Ha ha ha, Michelle you are:A S angry: so mean:A S angry:, unasikia raha mie nikijisikia kunywa sumu?
 
RR
mzima mwanangu,
vipi usingizi umepatikana,
najua ilikuwa wivu tu,
mambo yakiwa sawa usingizi unakujaga tu.

 
Ujue nasema makusudi ili abebe mabegi yako ayatupe kutoka kwenye hiyo sevanti kota.
Akurudishe kijijini kwa wazazi, yaani umemzimia shemeji yako taa weweeee hadi unataka kufanikiwa.

Nimeaga kwetu Kongosho,wala usijipe kazi zisizo na mafanikio.....najiamini pale sing'oki labda nitake mwenyewe ila si kwa fujo zako.....shemeji shemeji....ye huo ushemeji hauoni?? mbona wanihoji mimi sana?? :glasses-nerdy:
 

Kaizer ana mambo mengi Kongosho, don't lean on him....tafuta mwingine...!

Honestly najisikia vibaya ku-share na wewe ila sasa ndo hivyo,wanaume wazuri wako wachache my dear...nimefanya chaguo 2012 kushirikiana na wewe....usinywe sumu....utakubali kuniacha nakula raha peke yangu???? :A S-cry:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…