Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Ahahahahahaaaah mbona huyo yupo na kajaa tele humu ndani!!!!!
haiwezekani....unasema kweli?
Ahahahahahaaaah mbona huyo yupo na kajaa tele humu ndani!!!!!
Loh....huyu komandoo naye huwaga anasepa tu bila taarifa.....
:doh:OMG......it was you...oh oh oh oh....wat e koisidensi
yah na klorokwin....guys we miss you mjue
wewe bado nakutafakari
Maxshimba na Tumaini au ndo wamezami huko kwenye jukwaa la dini?
wala usisumbuke kutafakuri....nipotezee tu
siwezi kukupotezea kwa sababu...ngoja kwanza kuna thread mbili tatu hivi nizitafute then nije na konklusheni....hii haiwezekani kabisa
weee waanza kuntisha sasa oooohoooooooo
kuwa mpole tusolve hili tatizo
hamna tabu Preta...kama vipi tulisovu pembeni basi kwenye PM.....hapa wachawi wengi
subiri kidogo nimalize hiyo research then niipandie PM