Members walioadimika

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,363
Sijawasoma hawa siku nyingi sana:

1.bubu ataka kusema
2.sipo
3.Original Pastor
4.lole gwakisa na wengineo mwaweza ongeza
5.
6.
7.
8.


Mu wapi??? Kimya kimezidi !!!!!!
 
Hakuna aliyeadimika humu....ni kiasi cha kugundua tu nani anatumia ID gani siku hizi.

Ila Pundit na Bluray nao wameadimika sana siku hizi....:teeth:
 
mbona wapo au hamuwaoni?

Mi nadhani wengine wapo ila watu wanapishana mitaa tu. Bora sasa uchaguzi umepita, maana wengine walikuwa wanashinda na kulala kwenye jukwaa la uchaguzi tu, kwingine hawaonekani.
 
Wengi wamebadili ID zao, lakini kuna kitu ambacho tunatakiwa tukiangalie kwa umakini, hivi wanachama ambao hawaonekani zaidi ya mwaka mmoja bila taarifa hatuwezi kuconclude kuwa wamekufa?
 
Blazameni.
Huyu jamaa tumemmis sana.

Uzuri wa BRAZAMENI yeye hana pretense za usomi wala kujua siasa, yeye atakuletea picha zote za honies kutoa Copa Cabana mpaka 40/40.

Yeye ni kutafuta mkwanja, kujirusha na totoz na kuwa na good time. He is doing "him". Hata akikosea ukimshikia bango wewe ndiye unakuwa jioni kisomo.
 
Hakuna aliyeadimika humu....ni kiasi cha kugundua tu nani anatumia ID gani siku hizi.

Ila Pundit na Bluray nao wameadimika sana siku hizi....:teeth:
hahaaaaa... naem calling, we ngoja mwenyewe aje hapa na ngonjera zake
 
Back
Top Bottom