Members walioadimika

Members walioadimika

kaaazi kweli kweli. wengine wanajitaja kwenye
thread hii hii kwamba hawaonekani lol
 
Wengi wamebadili ID zao, lakini kuna kitu ambacho tunatakiwa tukiangalie kwa umakini, hivi wanachama ambao hawaonekani zaidi ya mwaka mmoja bila taarifa hatuwezi kuconclude kuwa wamekufa?

Duh! Katavi hapo kwenye red hapo ha haaaa ha ha aaaaaaa. We ni noma
 
Wengi wamebadili ID zao, lakini kuna kitu ambacho tunatakiwa tukiangalie kwa umakini, hivi wanachama ambao hawaonekani zaidi ya mwaka mmoja bila taarifa hatuwezi kuconclude kuwa wamekufa?

duh! una undugu na undertaker?
 
Mjue wengine wanamajukumu maishani mwao sio lazima kudakua kila wakati, as wengine wanasoma tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wakichoka kuandika humu
 
Mjue wengine wanamajukumu maishani mwao sio lazima kudakua kila wakati, as wengine wanasoma tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wakichoka kuandika humu
angalau wewe umetumia vyema akili yako na hukuwa mbayuwayu! Mf BAK sasa anadank huko NBA
 
Duh! Katavi hapo kwenye red hapo ha haaaa ha ha aaaaaaa. We ni noma
Inawezekana mtu alishatutoka muda mrefu lakini tunakuwa hatuna taarifa kwa kuwa humu tunatumia ID za uongo na hatujuani vizuri ni wachache sana wanaofahamiana hapa ndani.
 
BAK jamani kama kabadili ID ki ukweli ani pm jamani......
 
Sijawasoma hawa siku nyingi sana:

1.bubu ataka kusema
2.sipo
3.Original Pastor
4.lole gwakisa na wengineo mwaweza ongeza
5.
6.
7.
8.

Mu wapi??? Kimya kimezidi !!!!!!

Huyo namba 2mbona tayari jibu unalo?!
 
zakumi naye, maskini huyu alipotea kwenda kujabulani kabla hata ya woza
 
Inawezekana mtu alishatutoka muda mrefu lakini tunakuwa hatuna taarifa kwa kuwa humu tunatumia ID za uongo na hatujuani vizuri ni wachache sana wanaofahamiana hapa ndani.

Mimi nimeandika kwenye will, nikifa memebrs mtajulishwa na executor of the will. Vipi wengine au tutachukulia mmebadili ID?
 
Sijawasoma hawa siku nyingi sana:

1.bubu ataka kusema
2.sipo
3.Original Pastor
4.lole gwakisa na wengineo mwaweza ongeza
5.
6.
7.
8.

Mu wapi??? Kimya kimezidi !!!!!!
Woman of Substance !!!!!!!!!!! Yuko wapi huyu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom