Member mwenzetu hatunae

Kumbe, comment yake ya mwisho inaonyesha alikuwa anaumwa sana,,inamaana hakuna anaefahamiana Hadi kwao?
Mwaka Juzi nilipataga ajari nikavunjika mguu mara mbili

Niweke wazi huyo jamaa alikua ananiijulia hali inbox mara kwa mara na kliinifariji for sure alikua na moyo wa upekee Fulani

Na namba yake ya what's up na ni moja ya members wachache sanaa wenye namba zangu

Now napiga namtext namba haiiti pia what's up hayupo


Sio KAWAIDA YAKE KABISA
 
Oooh,itakuwa yupo salama huko alipo,
 
Online nako ni kitambo sana sijamuona labda Mwachiluwi anaweza akawa anAjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…