Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,494
- 42,660
Tangu Jana nilikua na mtafuta Kuna wadau waliniomba nimtafute intelligence businessman kujua kama yupoNdio hiyo hiyo haipatikani nime mtext
Tangu Jana nilikua na mtafuta Kuna wadau waliniomba nimtafute intelligence businessman kujua kama yupoNdio hiyo hiyo haipatikani nime mtext
Maisha ni mafupi sana,tupendane maana hakuna chenye thamani duniani zaidi ya uhai.
Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote,hivyo hatuna sababu ya kuishi kwa kuumizana,kutesana.
Tumuombee member mwenzetu Mwenyezi Mungu ampokee.
MARANGU MOSHI
View attachment 3675678
R.I.PMaisha ni mafupi sana,tupendane maana hakuna chenye thamani duniani zaidi ya uhai.
Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote,hivyo hatuna sababu ya kuishi kwa kuumizana,kutesana.
Tumuombee member mwenzetu Mwenyezi Mungu ampokee.
MARANGU MOSHI
View attachment 3675678
Huyu aliombaga namba kuna bidhaa niliwekaga sasa ndipo akajakundua kama ni mimi wote tunafahamiana na ile bidhaa nilitangaza jaJF I'd yake ni ipi? RIP kijana.
Alinipigia akisema namba katoa FJ ndipo tulipojuana kwa sababu alizaa na ndugu yanguJF I'd yake ni ipi? RIP kijana.
Huyu aliombaga namba kuna bidhaa niliwekaga sasa ndipo akajakundua kama ni mimi wote tunafahamiana na ile bidhaa nilitangaza ja
Alinipigia akisema namba katoa FJ ndipo tulipojuana kwa sababu alizaa na ndugu yangu
We ukipenda pombe inatosha..Hata tukipendana tutakufa tu, kila mtu acheze anapochezaga
✅We ukipenda pombe inatosha..
Kuna shogaangu aliniambiaga akiwa na kiu haikati Kwa kunywa maji, akinywa bia kiu inakata 🙌
Yeah ukiwa sio mnywaji unaweza mshangaa , ukiipotezea kiu ya bia unakosa amani kama mgonjwa kabisaKuna shogaangu aliniambiaga akiwa na kiu haikati Kwa kunywa maji, akinywa bia kiu inakata 🙌