Member mwenzetu hatunae

Member mwenzetu hatunae

Maisha ni mafupi sana,tupendane maana hakuna chenye thamani duniani zaidi ya uhai.

Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote,hivyo hatuna sababu ya kuishi kwa kuumizana,kutesana.

Tumuombee member mwenzetu Mwenyezi Mungu ampokee.

MARANGU MOSHI

View attachment 3675678
Daah umri kama wa mjukuu wangu,,,,RIP young man,.....gon tuu suun.
 
Back
Top Bottom