Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
wanachama wa CCM sio watanzania?CHADEMA wanafurahii..lakini ingekua ndani ya CHADEMA viongozi wa CHADEMA wasingevumilia ili..wangekua wameshatoka barazani..
ila uongozi wa CCM imeliona ili la kawaida ,ndio mana imelipotezea..wanaojadili na kumkosoa Membe ni WATANZANIA sio wanachama wa CCM