Membe: Sitanyamaza, ni haki yangu

Membe: Sitanyamaza, ni haki yangu

Dada Nifah akili za wana ccm zimejengwa katika misingi ya dhuluma na uongo mwingi.Wanaona membe kama msaliti kwao huku wamesahau kama mwenzao ni mwanadiplomasia mzuri.Wanataka anyamaze ili wafanye yaliyo jengwa kwenye misingi yao ya dhuluma
 
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.

Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Sasa ndio inadhihirika kwamba Membe angekuwa raisi, yaliyofanywa na Kikwete yangeendelea miaka mingine mitano.
 
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.

Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Rais mstaafu Kikwete na yeye kama binAdam alikuwa anakosea, je Membe na yeye alikuwa akimkosoa hadharani kama afanyavyo sasa?
 
Hapana, asingeweza kufanya hivyo kama ambavyo JPM naye hakuthubutu kufanya hivyo pamoja na sasa kudhihirisha kuwa kuna mambo yalikuwa hayamfurahishi. Kwa nini hawakufanya hivyo? Ni suala la uwajibikaji wa pamoja nyote mkiwa katika baraza la mawaziri. Sasa hivi Mh Maembe ni raia huru na hivyo ana luxury ya kutoa maoni yake kama raia mwingine ye yote.
 
Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao

Member ni mnafiki sana na ndio maana Mudhihili alimpachika jina la NYOKA WA MDIMU; atadiriki vipi kumsifia Kikwete kuwa aliwapa watu uhuru wa kutoa maoni wakati ndio Kikwete huyo huyo aliyewaua waandishi wa habari wakina Mwangosi na kufungia magazeti kama MWANAHALISI wakati wa utawala wake!!! Ni wakati wa kikwete huyo huyo ambaye kibaraka wake Membe anamsifia ndipo alipotunga sheria za kuthibiti jinsi ya kupashana habari kwa kutumia mitandao ya jamii; kwa Membe yote haya ni kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni, ndio maana kweli anaitwa NYOKA WA MDIMU!.
 
Huyu baba kakaaa ukoo kaangalia debates za marekani kaona hile ndo style ya kufanya sasa..ila ajitaidi ndo mabadriko hayoo
 
Hivi chama kimeimarika sana sasa, siyo! Mbona K!nana haonekani steijini?
 
Wee jamaa mleta uzi ni mbea, mnafiki na mchonganishi mwenye female traits!
Nafikiri una testosterone nyingi zaidi maana threads zako ni za kike, UONGO NA UCHONGANISHI.
Hayo maneno kayasema wapi?
 
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.

Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
uhuru gani aliyetupa?
 
Na kuifanya nchi kuwa shamba la bibi?!
 
kwa ukawa kweli hakuna kiongozi anayeweza kugawa mali ya umma kwa kimada kama livyo fanya bwana alcohol..!!uko sahihi
serikali ya watu serious ni ile inayosafisha mafisadi?

hivi kuna mtu mwenye kariba ya maguful ndani ya ukawa kama sio kuwepo madalali wa siasa?[/QUOTE
 
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.

Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Namba zinasomeka...
 
Watz lazima waelewe kuwa hakuna wa kuabudiwa isipokuwa Mungu, hii tabia inayoongezeka ya watu wengine kujiona miungu watu, sharti ikomeshwe, once and for all.

Hakuna mwanadamu asiyekosea, No One Is Infallible, kwa mantiki hiyo kila moja ana haki ya kukosolewa pale anapokuwa amekosea.

Watu wanaendekeza tabia ya kusujudia tu ili kutafuta njia ya mkato ktk kupambana na maisha wakilenga kupewa vyeo ili kuganga njaa zao
 
Wee jamaa mleta uzi ni mbea, mnafiki na mchonganishi mwenye female traits!
Nafikiri una testosterone nyingi zaidi maana threads zako ni za kike, UONGO NA UCHONGANISHI.
Hayo maneno kayasema wapi?
Hayo ni makosa kwa wamiliki wa nissan patrol.
 
Back
Top Bottom