Membe: Sitanyamaza, ni haki yangu

Membe: Sitanyamaza, ni haki yangu

tusiwe wepesi sana kudandia mambo ya ccm, hawa jamaa niwajanja sana wanakorogana hivi ili ndio iwe mwisho wetu kujadili madudu yao kitakacho fata hapa soon tuhuma za Magu zitawekwa nje au za washkaji zake ccm wanajua kuneutralize sana pressure ya watanzania..!! solution nikuing'oa ccm madarakani tutengeneze serikali ya watu serious
serikali ya watu serious ni ile inayosafisha mafisadi?

hivi kuna mtu mwenye kariba ya maguful ndani ya ukawa kama sio kuwepo madalali wa siasa?
 
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.

Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao

Kwanini asingeomba tu kuonana na rais kwa maongezi ambapo angempa ushauri ambao nina imani kabisa ungefanyiwa kazi? UMOJA NI USHINDI!
 
Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.
Itakuwa ni fashion huko kwao basi, na mbunge wake naye si unamuona? Lakini anayo haki ya kutoa maoni
 
Membe.......
 
Attachments

  • 1453729926730.jpg
    1453729926730.jpg
    17 KB · Views: 30
Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.
Hata wewe umeanza kumponda Membe. Ng'wanene.
 
Hii ni mbinu tu ya kuchelewesha maendeleo ya Uchumi wa nchi yetu. Wrote wanaotibuatibua wanafahamu ya kwamba kukiwa na vururgu au kutoelewana au hata kukosolewa kunamfanya mtawala asite kuendeleza utekelezaji wa kile alichonuia. Hilo linapelekea Muda mwingi kupotea na kusahaulisha watu lengo walilokuwa wamelikusudia kulifanya. Hatimaye msimu unaisha bila malengo kufikiwa. Na baada ya hapo ni kwamba yule aliyonekana jembe ataonekana si lolote kwa kuwa atakuwa amepoteza Muda mwingi kwa kutatua migogoro na kuwajibu wale walilokuwa wakileta hoja za makusudi.
 
Ku
Nahisi kuna mgogoro mkubwa ndani ya CCM,mpaka Membe anajitokeza hadharani kusema haya basi amini nawaambieni kuna kundi kubwa nyuma yake linalompa ujasiri huu.
Hata hivyo wanazidi kuturahisishia kazi 2020 sio mbali.
Labda kundi la waliokosa uteuzi. Miaka yote alipokuwa waziri alifanya nn cha kukumbukwa. Atulie amwache Magufuli afanye kazi. Kama ana shida ahamie Libya
 
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.

Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Ni kweli kabisa ni haki yake kikatiba kueleza jema au baya kwake kama anavyo liona akizingatia sheria kinacho shangaza na kuacha watu waseme ni ile hali kuwa pale awali ali sifu na kupaka mafuta lakini ghafla ame badilika na kurusha madongo. je kume badilika nini mara, au pale mwanzo tuamini ali ghafilika? pengine ange liweka wazi ili na wengine tuelewe au hizi nyundo zili subiri muda muafaka?
 
Ku

Labda kundi la waliokosa uteuzi. Miaka yote alipokuwa waziri alifanya nn cha kukumbukwa. Atulie amwache Magufuli afanye kazi. Kama ana shida ahamie Libya
Heheheh hayo hayatuhusu,vita vya panzi
 
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.

Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Utamkumbuka sana kwa kukufikisha mbali kugombea uraisi,lakini Mungu hakukutaka
 
membe bado hajamaliza aliyonayo moyoni.......subirini mbona mna haraka?
 
Tuwapuuze tu, hawana jipya kwa kuwa walilea uzembe,udini,ukabila,uwizi na kila aina ya ubabaishaji
 
Back
Top Bottom