Membe: Sitanyamaza, ni haki yangu

Membe: Sitanyamaza, ni haki yangu

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao


Tulishuhudia waliotoa maoni wakinyofolewa kucha bila ganzi, wengine waling'olewa meno na macho na kupata vilema vya kudumu na wala hatukuona wahusika wakichukuliwa hatua pamoja na kutajwa waziwazi sana sana waliowataja walidhibitiwa
 
kwani membe bado anautaka uraisi tu...duh amechelewa si angegombea hata chauma...
 
Hana ubunge hajapata urais hajateuliwa anogopa atasahulika ni bora awe mlopokaji apate kick wenda atakumbukwa
 
Membe asingekashifu ukawa tungemtetea lakini kitendo chake cha kukashifu ukawa atakijutia sana, membe tuombe msamaha ukawa ili tukutetee
 
Alitukanwa Dr slaa chadema ije kua Membe ccm!!
Docta Slaa kajenga Chama hatimaye kauza siri za chama kwa wapinzani wake.Hata hivyo alikuwa na Element za CCM maana alikulia kule.Muulize waliomnunua kipindi cha Serena na Mwakyembe wake
 
Ni haki yake ya msingi kutoa maoni yake tumuache aongee hii ni nchi huru kila raia ana haki ya msingi kutoa maoni yake ili mradi havunji sheria za nchi.
 
too low...naona theory za political economy zimeanza kuvuruga watu....lol
 
UKIONA MTU MZIMA ANALIA JUA ....MAJI YA SHINGO...magufuli kagusa maslahi ya watu kabma mirija yote ya asali, watu wanapumulia mashine walishazoea vya kunyonga hao sasa WANAISOMA NAMBA. magufuli songa soongaaaa babaaa tupo nyuma yako tunakulinda wewe ndie chaguo la mungu, endelea kuwakamua kama mua.
 
Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.

Amejichubua sehemu zipi mkuu!
 
Yale makundi bado tu hawajayavunja? Si alijinasibu baada ya Magufuli kuteuliwa wao wote kitu kimoja wanaelekeza nguvu zao kuua UKAWA? Haahaaa baada ya kukamilisha hilo makundi yanarudi upya before hata mwaka? Naona dalili ya Magufuli kuachia ngazi ajiunge UKAWA, ccm wote ni wale wale, hapo Membe kawehuka mali zake hazjijaguswa zikiguswa je? Huyu membe kuna watu wenye fedha chafu wako nyuma yake. Ila ni vyema wakasigana wenyewe waache ukawa wapate sera mpya toka kwao.
 
Docta Slaa kajenga Chama hatimaye kauza siri za chama kwa wapinzani wake.Hata hivyo alikuwa na Element za CCM maana alikulia kule.Muulize waliomnunua kipindi cha Serena na Mwakyembe wake

Mbona hata huyu kaanza vielement vya kichadema kinafiki nafiki Leo anakubaliana na hili kesho Yake analipinga.
 
Muache Rais atekeleze majukumu yake kama kumshauri sio kupitia vyombo vya habari omba appointment na Mh Rais akikubali nenda mkajenge nchi, kutoa ushauri kama akiukubali hewala akikataa basi tulia mzee,Mh atekeleze vission zake kwa kufuata mwongozo Ushauri usitumie vyombo vya habari kwa hilo mapumziko mema Mstaafu

Ninaamini Membe kama raia ana haki ya kutoa mawazo yake kwa namna anayoona yeye inafaa. Siamini kuwa analazimika kutoa mawazo yake ndani ya vikao tu au ni lazima akutane na Rais ana kwa ana.

Unapotoa mawazo yako hadharani, kuna faida yake pia. Maana utapata reaction ya umma, na wanaohusika wanapata nafasi ya kupima, kama mawazo yaliyotolewa na huyo mtu mmoja ni fikra za wengi au za huyo mmoja pekee yake.
 
Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.

japo mi mwenyewe naona shida katika issue ya membe, lakini NA wewe kusema hayo hapo juu naona kuna shida kichwani mwako
 
Ni wazi kabisa kuwa team Jk hawafurahishwi na mengi yanayofanywa na Magufuli kwakuwa
1.halikuwa chaguo Lao tangu mwanzo
2.anagusa maslahi yao
3.anagusa maslahi ya 'watu' wao
4.anawavua nguo peupe kwa timua timua ya watendaji walioteuliwa kipindi chao na kuibua kila aina ya uozo
5.ongezeko la mapato ya TRA linawaumbua kuwa hawakuwa makini
Orodha ni ndefu na kwakweli watafanya kila juhudi kumkwamisha ili aonekane hafai
Time will tell. ...!!!
Kwan MAGUFULI hakuwa mmoja wa serikari iliopita? Tatizo lenu ccm hamtaki kuambiwa ukwel wala kukosolewa mnapo haribu, acha waongee ukwel na madhaifu yaliyopo
 
Dawa ya wasaliti ni kunyongwa tu. Membe na wasaliti wenzake ni wasaliti na wanastahili kunyongwa
Zitto alipewa adhabu ndogo tu ya kufutiwa uanachama ccm povu liliwatoka na ikawa agenda yenu kumtetea na kulaani zitto kuitwa msaliti, limefika kwenu hili janga mnataka kutoa uhai wa watu na jina lili lile aliloitwa zitoo leo mnalitumia, kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Back
Top Bottom