Membe: Sitanyamaza, ni haki yangu

Membe: Sitanyamaza, ni haki yangu

Huyu naye ni jibu anatakiwa kutumbuliwa ni dhahiri magufuli anamnyima usingizi.
 
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.

Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.

Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.

Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.

Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
duuuh kukatwa kunauma
 
Ni wakati wa yeye kukakaa kimya na kuwa mtazamaji kwani si rahisi kila kitu kuwa kama awamu iliyopita kwanza kumbuka ile ilikuwa awamu ya nne hii ni ya tano
 
Wapi Msemaji wa CCM?
Mh Tindu Lissu, alipotumia haki yake ya msingi Kikatiba, CCM waliwahi kumjibu fasta....
Je huyo mwanaCCM, msemaji wa CCM mbona yupo kimya!!
Wanatumika wasiohusika kumjibu.
 
Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.
Ndugu kujichubua kwake kunahusiana nini na HOJA zake....wee ungemuuliza kwanini aseme sasa hivi sio zamani
 
Membe kaanza ila wako wengi tu watamuunga mkono siku si nyingi.Tunasahau Magu hakua chaguo la wengi ili alipita kwa "zali tu la mentali"
Magu atapata upinzani mkali sana ndani ya ccm kwa sababu anaziba kula za watu.
Kang'oa na kuziba mirija mingi sana katika kipindi cha miezi miwili tu.
Na machungu ya njaa yatakavyozidi ndo maadui zake watakavyoongezeka ndani na nje ya ccm.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria. Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo. Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe. Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria. Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao

Sawa, lakini kuna swali mwandishi wa habari zinazosambaa alisahau kumwuliza Mh Membe. Nalo ni hili:

"Wakati wa mchakato wa kuutafuta Urais kipitia CCM, mgombea mmoja aliripotiwa kuandaa rushwa ya bilioni moja kama mkakati wake wa kuingia Ikulu kwa urahisi. Wewe unayo maoni gani kuhusu tabia ya kutafuta madaraka makubwa kabisa katika taifa hili kwa kutumia rushwa?"

Naomba swali hili limfikie Membe kupitia JF plz...
 
Wapi Msemaji wa CCM?
Mh Tindu Lissu, alipotumia haki yake ya msingi Kikatiba, CCM waliwahi kumjibu fasta....
Je huyo mwanaCCM, msemaji wa CCM mbona yupo kimya!!
Wanatumika wasiohusika kumjibu.
Unadhani kuna haja ya kutumia media kumfikia Membe? Tumia akili wewe. CCM hatufanyi mambo kwa mtindo huo. Membe atafikiwa humu humu ndani ya chama.
 
Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.
Naina kauli za Membe zimewashika kwenye makalio ndo maana mnahaha kwa namna hiyo.....lazima mzinduke sasa!!!
 
CHADEMA wanafurahii..lakini ingekua ndani ya CHADEMA viongozi wa CHADEMA wasingevumilia ili..wangekua wameshatoka barazani..

ila uongozi wa CCM imeliona ili la kawaida ,ndio mana imelipotezea..wanaojadili na kumkosoa Membe ni WATANZANIA sio wanachama wa CCM
 
Binadamu hanaga jema,siku zote huwez kukubalika na watu wote,huo ndio ukweli.

Anachokifanya mh JPM yuko sahh kabisa kwan anafuata katiba ,na nchi ilifikia pabaya hivyo tukianza kubembekezana hatutofika.

Ifike hatua mtu anapotenda jambo kwa faida ya wote apongezwe,hao wanaolalamika ndio walozoea kujal matumbo yao.
 
Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.

Huwezi kumuelewa kwa sababu unapokuwa unamsikiliza au kusoma alichokisema akili yako na roho yako vina kuwa havina ushirikiano,

Kwamba Roho yako inakuwa inamchukia kwa chuki binafsi na akili yako inataka kumsikiliza au kusoma.

Ila kwa hili la juzi ameeleweka sana na kila mwenye mapenzi mema na nchi hii wamekubaliana nae na wana muunga mkono Membe
 
Dawa ya wasaliti ni kunyongwa tu. Membe na wasaliti wenzake ni wasaliti na wanastahili kunyongwa
 
mijitu imeiba fedha za walipa kodi leo wanatuleta ujinga wao apa
 
membe katumwa na mtu nini? wampe uwenyekiti awatumbue ... membe kama alitegemea kanafasi kutoka kwa magu na umoja wa mataifa kwa kigezo cha kushika nafasi ya waziri wa mambo ya nje kwa mda mrefu, sasa naona kama wamemuweka kando kama nayotafarkari ni ya kweli basi tena jamaa anavurugwa
 
Membe kaona anapotea kwenye ramani ya siasa kirahisi kaamua kujitutumua.
 
Back
Top Bottom