Sauti ya Rondo
Senior Member
- Aug 1, 2009
- 127
- 226
- Thread starter
- #141
Billion 200! za Ghadaff ndizo Membe anazo tumia Kujenga Mahotel ya kifahari Huko Mtwara.....
Bilioni 200 hizo ulimsaidia kupokea?
Billion 200! za Ghadaff ndizo Membe anazo tumia Kujenga Mahotel ya kifahari Huko Mtwara.....
Hivi ni nani amekuambia hana uwezo? Uwoga wako wa kukopa ndo usifanye na wenzako wawe sawa na wewe. Hata Rombo Green view mmiliki alitolea ufafanuz ni mikopo. Anasema mwanzon ilianza ikiwa ndogo. Hata NAF ilianza Lodge ndogo ikiitwa NAF View, baadae sana ikajengwa NAF Beach na FAN City. Na hayo majina FAN au NAF ni kageuza majina matatu ya watoto wake huyo Shebby kama mdau alivyofafanua hapo juu!
Shebby kaanza gemu za kuhangaika na biashara pale Mtwara muda sana. Jamaa inaonekana anajua kufight!
Inawezekana Membe akawa na hisa labda kwa kuwa wako karibu au ni marafiki, hilo ni vigumu kuthibitisha, ila kusema Shebby hawez kukopa benki inashangaza, kwa nini asiweze? Ni mtu aliyeishi Mtwara muda na kuhangaika kibiashara, na wakat ule Mtwara viwanja na mapori ilikuwa ni bei ya kutupwa. Sasa kama alinunua kwa vision na baadae imekuwa value ni kubwa baada ya ugunduz wa gesi huoni ardhi imekuwa na thamani kubwa na hivyo ni rahisi kuwa na colateral ambazo ni rahisi kukopesheka benki? Eti Shebby hana uwezo wa kukopa, kwa nini? Kama wewe ni mwoga wenzako wanaweza?
Wakaz wa Mtwara nao ni wajanja sana siku hizi.
Watu kama Maarifa anamilik Safari Radio,Makonde Beach na Makonde Water. Bila kumsahau Mr Hamza kama sikosei anamiliki Pride FM, na hawa wote ni wazawa wa Mkoani Mtwara. Baada ya Wanamtwara kufunguka kifikra nao wako vizuri sawa na wakina Mfugale wa Iringa anaemiliki Ebony FM na Peacok Hotel au MAiro anaemiliki Hotel La Kairo Mwanza au mzawa wa Arusha/ Moshi anaemiliki Naura Springs. Exposure imewatoa matongotongo wanaMtwara, na bado Mahotel yanajengwa kwa wingi sana Mtwara kwa sasa. Wanamtwara na Watanzania wanawekeza sana tena sana. Naamini Mtwara soon itaipita hata miji mingine iliyotangulia. Sidhan kama Morogoro, Iringa, Dodoma na hata Mbya kuna hotel ya nyota4 sina hakika!
Kwani ile hotel gharama yake ni kama bei gani. Na msimu wa korosho na ufuta mikoa ya kusini hukusanya billion ngapi? Hazifiki angalau 100? Na kwa mtu serious hawez kukusanya billion5 hadi 10? Ukikadiria kwa kutumia pro rata rate, billion 4 hadi 6 zinajenga hotel ile. Shebby naamini anaweza.
Mnanishangaza sana.Taarifa tulizonazo ni kwamba Shebby alijenga hoteli kwa mkopo wa Crdb na pato lake la udalali wa zao la korosho.
umepewa bei gani kumtawaza MembeBilioni 200 hizo ulimsaidia kupokea?
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.
Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.
Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!
habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa naf beach hotel iliyopo mkoani mtwara.kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.
Ukweli ni kwamba membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.membe hajawahi kufanya biashara.kumhusisha membe na umiliki wa naf beach hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.hoteli ya naf beach ni mali ya shabaan maarufu kama shebby mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka crdb.
Hakuna uhusiano wowote kati ya membe na shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na membe katika umiliki wake.nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.nawasilisha!
Bwana Mapesa maswali yako ni mazuri sana. Niseme tu kwamba Membe hayuko responsible kuelezea maisha ya Shebby (Shaibu Mohamed Juma) na sidhani kama sisi hapa tupo responsible. Swali lililo mbele yetu ni je Membe anamiliki hotel Mtwara? Kuchunguza Shebby ni nani kihistoria hakujibu swali la msingi.
Ajabu tumedangamywa na kuaminishwa kwamba Shebby ni masikini huwezi kujenga hotel. Hata baada ya mmiliki kuongelea kupitia TV na radio historia yake na jinsi alivyopata utajiri wake. Lakini hao wanaotuaminisha hawana hesabu ya utajiri wa Sheby ambao unaweza kuwa wa urithi au umiliki wa maeneo mengi ya ufukweni ambayo kwa miaka ya karibuni yamenufaisha wakazi wa Mtwara.
Ifahamike Shebby ni dalali makubwa wa ununuzi wa korosho kutoka vyama vya ushirika kwenda kwa makampuni ya wahindi. Kinadhalia Udalali auhitaji mtaji na malipo yake ni makubwa nayapamoja. Kama Shebby anaweza kushinda mnada moja na akamchaji muhindi shilingi 10 kwa kila kilo aliyoshinda manake anapata billion moja kwenye tani laki moja. Hapo hajafanya organization ya transport kwa kilo kutoka mnadani hadi ghalani.
Shebby alikuwa mfanyabiashara wa simu kariakoo lakini mwanzoni mwa miaka ya 2000 alirudi kwao Mtwara mara baada ya kugundua kwamba udalali wa korosho unalipa. Akauza maduka yake ya simu aliyokuwa anamiliki kariakoo. Madalali wengine walioungana naye ni pamoja na bwana Salum Mkemi ambaye bado makazi yake ni Dar.
Shebby ni mfano wa kuigwa kwa vijana wanaodhani Dar ndio kila kitu. Shebby amekuwa akiiomba serikali iwawezeshe wanunuzi wa korosho wakizalendo kuuza korosho zao moja kwa moja inchi za nje. Tatizo, alijibiwa kwamba wahindi wamezuia kununua korosho kutoka kwenye nchi zinazolima pasipo kupitia makampuni yao ya India. Kila miezi kadhaa Shebby amekuwa akifanya mahojiano na TV akielezea jinsi alivyopata utajiri wake na ujumbe wake kwa vijana. Kwa kudhani Shebby huwezi kujenga hotel ni kudharau jitihada zake.
Tujifunze kupongeza na kutia nguvu vijana waliotoka jasho na wakafanikiwa. Tusiache wanasiasa watukatishe tamaa kwa kusema hatuwezi.
Hili suala lilishafanyiwa uchunguzi na vyombo husika na ukweli umeshajulikana: Membe sio mmiliki wa NAF, FAN city, wala NAF blue Hotel.
NAF inasimama badala ya herufi za majina ya wototo wa mmiliki halali Shaibu Mohamed Juma. Watoto wanaounda NAF au FAN city ni Nadhir Abdul na Farid. Hotel hizo zilijengwa tangu enzi za utawala wa Mkapa kabla Membe hajawa Waziri. NAF beach ilichelewa kuanza kazi kwasababu ya kuchelewa kwa mkopo kutoka crdb uliombwa na mmiliki. Mkopo ulitoka mwakajuzi na hivyo hotel kuanza.
Ifahamike kwamba Chadema, takukuru, usalama wa Taifa, kamati ya maadili ya ccm na Cuf walishafanya uchunguzi juu ya hotel hii na wote wakaja na jibu moja: Membe hana biashara ya hoteli sehemu yeyote duniani. Wote wamejiridhisha kwamba upo uhusiano wa kawaida wa kirafiki kati ya bwana Shaibu Juma na familia ya Membe. Sawa na uhusiano uliopo kati ya mmiliki wa Serena hotel na Membe.
Uchunguzi wa mwisho na wakaribuni ni ule uliofanyika na mahasimu wa Membe ndani ya CCM. Huu nao haujamweka Membe kama mmiliki wa hotel lakini mahasimu hawa wameamua walazamishe kesi kwasababu hawana kesi. Wakati EPA Richmond Rada Tokomeza na Escrow vimekuwa vikiwasumbua mahasimu wa Membe, Membe amekuwa msafi Wakati wote.
Mahasimu hao pia wamekuwa wakitapatapa kwamba Membe kala ela za Ghadafi. Ni nchi gani duniani ambapo misaada au msamaha wa madeni unapitishiwa kwenye account ya waziri wa mambo ya nje? Kwa taarifa zilizo sahihi ni kwamba wanasheria waliotuingiza mkenge Escrow ndio wanaosambaza habari za uongo kwasababu Membe alikataa ombi lao la kuitambua kampuni ya MELt kuwa mmiliki halali wa fedha zilizopo TIB badala yake akatambua MEIS company kama ambavyo ilihainishwa na serikali ya Libya. Huwezi kumwingiza Membe mkenge hata siku moja na Tz tungepata viongozi wa aina ya Membe ambao wako makini na wametenganisha siasa na biashara tungekuwa mbali. Mbali sana.
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.
Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.
Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!
Sasa si heri hata haya usingeyaandika
Wakati mwingine huwapo watu wanahitwa "front man". Haujawahi kusikia hilo???Mkuu Shebby ndio mmiliki wa Nafbeach?? Mmmhhh
Wakati mwingine huwapo watu wanahitwa "front man". Haujawahi kusikia hilo???
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.
Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.
Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!
Naona hujaelewa maana "front man".Shebby kapata wapi hela ya kujenga hotel ya kifahari kama ile??
Alhaj camilius membe.jambazi anaejificha kwenye mgongo wa tezidume.
wewe ni mpumbavu tu period. siku zote unafikiria ukiristo/ukafiri wako tu badala ya watanzania wenzako. jisenge wewe.Mkuu naona unantaftia ban kwa nguvu. ..leave me alone kha
wewe ni mpumbavu tu. siku zote unafikiria ukiristo/ukafiri wako tu badala ya watanzania wenzako. jisenge wewe.