Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

Wakati Shebby ananunua hicho kiwanja cha naf beach hotel kwa Mkapa wa JAGAJU alimwambia ni kigogo Fulani ndiye mwenye kununua yeye ni mtu wa kati tu baada ya kutaja jina la kigogo huyo bwana ardhi mteule MAIBA ilifanya fasta kutransifer. Shebby alikiri kuwa yeye ni mtu wa kati tu.
 
Hili suala lilishafanyiwa uchunguzi na vyombo husika na ukweli umeshajulikana: Membe sio mmiliki wa NAF, FAN city, wala NAF blue Hotel.

NAF inasimama badala ya herufi za majina ya wototo wa mmiliki halali Shaibu Mohamed Juma. Watoto wanaounda NAF au FAN city ni Nadhir Abdul na Farid. Hotel hizo zilijengwa tangu enzi za utawala wa Mkapa kabla Membe hajawa Waziri. NAF beach ilichelewa kuanza kazi kwasababu ya kuchelewa kwa mkopo kutoka crdb uliombwa na mmiliki. Mkopo ulitoka mwakajuzi na hivyo hotel kuanza.

Ifahamike kwamba Chadema, takukuru, usalama wa Taifa, kamati ya maadili ya ccm na Cuf walishafanya uchunguzi juu ya hotel hii na wote wakaja na jibu moja: Membe hana biashara ya hoteli sehemu yeyote duniani. Wote wamejiridhisha kwamba upo uhusiano wa kawaida wa kirafiki kati ya bwana Shaibu Juma na familia ya Membe. Sawa na uhusiano uliopo kati ya mmiliki wa Serena hotel na Membe.

Uchunguzi wa mwisho na wakaribuni ni ule uliofanyika na mahasimu wa Membe ndani ya CCM. Huu nao haujamweka Membe kama mmiliki wa hotel lakini mahasimu hawa wameamua walazamishe kesi kwasababu hawana kesi. Wakati EPA Richmond Rada Tokomeza na Escrow vimekuwa vikiwasumbua mahasimu wa Membe, Membe amekuwa msafi Wakati wote.

Mahasimu hao pia wamekuwa wakitapatapa kwamba Membe kala ela za Ghadafi. Ni nchi gani duniani ambapo misaada au msamaha wa madeni unapitishiwa kwenye account ya waziri wa mambo ya nje? Kwa taarifa zilizo sahihi ni kwamba wanasheria waliotuingiza mkenge Escrow ndio wanaosambaza habari za uongo kwasababu Membe alikataa ombi lao la kuitambua kampuni ya MELt kuwa mmiliki halali wa fedha zilizopo TIB badala yake akatambua MEIS company kama ambavyo ilihainishwa na serikali ya Libya. Huwezi kumwingiza Membe mkenge hata siku moja na Tz tungepata viongozi wa aina ya Membe ambao wako makini na wametenganisha siasa na biashara tungekuwa mbali. Mbali sana.
 
Wewe umeupasua ukweli kwa data ambazo hazipingiki kabisa.
 
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.

Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!

Peleka ujinga wako hapa nani unamfanya mtoto asiyejua uhusiano wa membe na huyo shebby wakati iko wazi biashara zote za membe shebby mix ndo msimazi au unataka tuweke na orodha ya biashara zake hapa, umechelewa kujisafisha bora ungepiga kimya.
Tunajua shebby mix ni mfanya biashara lakini hana uwezo wa kukopa mabilion ya kuwekeza katika biashara kubwa kama zile
Au ni lile duka la simu pale stand kuu ?
Au ni mazao na mbao?
Au nyara za serikali?
JIPANGE.
 
Wakati Shebby ananunua hicho kiwanja cha naf beach hotel kwa Mkapa wa JAGAJU alimwambia ni kigogo Fulani ndiye mwenye kununua yeye ni mtu wa kati tu baada ya kutaja jina la kigogo huyo bwana ardhi mteule MAIBA ilifanya fasta kutransifer. Shebby alikiri kuwa yeye ni mtu wa kati tu.

Shebby kama aliyasema hayo unayoandika basi ni punguhani namba 1..
 
ukilala kwenye ile hotel hata ukimuuliza mjusi atakwambia naf beach ni ya membe,halafu anaogopa nini kwani kuwa masikini ni sifa ya kupewa urais?!!!
 
Na taarifa zilizo chini ya kapeti huyu bwana Membe akiukwaa unyerere huyo SHEBY MIX kaahidiwa Nafasi nyeti serikalini na ukitaka data zote za huyo shebby mix na membe mpe pombe mdogo wake mmoja huyo ndo balaa anajiita mtoto wa membe
 
Shebby Matelefone ametangulizwa tu kama boya. Watu tunajua hadi Membe alikotoa hela ila tunaogopa kusema kwa kuwa Membe anao maadui 11 na wa kwanza Absalom Kibanda tunajua alichokipata, wapili afisa ubalozi wa Libya "alijinyonga", Tusijekuwa wa 12.

RIP Muamar Ghadaffi

Aka tule tubilioni
 
Hivi lile bwawa la nabwada bado lipo huko mtwara! Dah long time sana
 
Na taarifa zilizo chini ya kapeti huyu bwana Membe akiukwaa unyerere huyo SHEBY MIX kaahidiwa Nafasi nyeti serikalini na ukitaka data zote za huyo shebby mix na membe mpe pombe mdogo wake mmoja huyo ndo balaa anajiita mtoto wa membe
Kwa elimu gani aliyonayo Shebby Mix?
 
Peince K,
Upuuzi wa dini usiulete hapa vinginevyo utaonekana mbaguzi mkubwa. Naamini wewe sio mpuuzi na wala sio mbaguzi.

Mkuu mechard heshima mbele nilichosema ni ukweli chini ya jk tumeshuhudia ubaguzi wa hali ya juu kwa wakristo hakuna ambaye hakuona .hata huyo mtajwa inasemekana kasilim ili apate presidentia favour. .naheshimu uhuru wa mtu kutoa maoni ila mimi nasema ni muda wetu sasa"yatosha , mimi sitampigia kura ya urais muislam ni maoni yangu mkuu "salimia familia"
 
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.

Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!

Hamna kiongozi yeyote wa tanzania ambaye anaweza kusimama na kusema mm namiliki chochote.....vitu vingi na vkubwa vnaendeshwa kwa niaba yao!!wananchi tunajua na tunawaona wanavojichotea kama shamba la bibi
 
mbona lowasa yeye maadui zake ni watanzania wote kwa jinsi alivyoFISADI ni kheri ya rais mtarajiwa Membe maadui zake ni 11 tu.

Ukisema Lowasa ni fisadi lazima ukubali wazi wazi kabisa kuwa na Mwenyekiti wa Chama chako naye ni fisadi, jambazi na mwizi anayewafahamu wezi na mafisadi alafu anachekacheka tu.
Futa Delete kabisa CCM mana hakuna msafi karibia wote walioko Kamati Kuu hakuna wa kumnyooshea mwenzake kidole.
 
...Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu, kiurafiki au kibiashara!
...Wote wamejiridhisha kwamba upo uhusiano wa kawaida wa kirafiki kati ya bwana Shaibu Juma na familia ya Membe.
Peleka ujinga wako hapa nani unamfanya mtoto asiyejua uhusiano wa membe na huyo shebby wakati iko wazi biashara zote za membe shebby mix ndo msimazi au unataka tuweke na orodha ya biashara zake hapa, umechelewa kujisafisha bora ungepiga kimya.
Kaaazi kweli kweli!
 
Kwa elimu gani aliyonayo Shebby Mix?

Kwani si anajifanya kada wa ccm
Kwani Ccm wanaangalia elimu tangia lini
Achana na haya makitu ya kumsafisha mtu yatakukosti kama huna detail aisee, watu tuko mbali lakini mienendo ya huko twaifahamu ndugu.
 
Watanzania siwaelewi inamaana amtaki mtu smiliki kitu au raha yenu akina bareksa manji ndio muwasifie mtu akiona kitu mara riziwan ni mwizi mara lowasa tufikirieee sanaaa
 
Back
Top Bottom