Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

naf1.jpg


Associated with Naf Blue View Hotel Ltd,Naf Beach Apartments,Fan city Lodge Ltd
Shaibu Mohamed Juma
Executive Director,
email: shebbymix@nafbeachhotels.co.tz
email: reservations@nafbeachhotels.co.tz
Plot 298 Shangani Road, P.O.Box 179 Mtwara,Tanzania. Tel: +255 23 2334705/6
Fax: +255 23 2334707
::::Naff Beach Hotels::::

naf58.jpg

naf24.jpg

Naf Beach Hotel is located in Mtwara, on the southeastern side of Tanzania. A truly incomparable hotel with a total of 60 luxurious and stylish rooms and suites, sympathetic amenities and complete leisure. https://acomsa.co.za/mtwara/
 
Muulize yule mwenye Geust ya ng'onye pale magomeni.Ndio aliyemtambulisha shebby kwa Membe.Huyo anaweza kutuambia ukweli.
 
Collateral ya Shaban Mix ilikuwa nini hadi CRDB wamkopeshe? Ilikuwaje akatumia Kampuni ya ukandarasi ya Membe kujenga hiyo Hotel? Fedha za Ghadaffi ziliisaidia vipi hiyo hotel? Ilikuwaje akawafanyia fujo Mawaziri wenzake wakati ule wa Vuguvugu la Wanamtwara? Kwanini Investment zake Hazikuguswa? Watanzania si wajinga ... Hata Kisena anasemekana ni Mmiliki wa simon Group wakati Prof Kapuya na Jamaa zake ndo wenye mali na wanajulikana....

Ma paz sauti eti Lowassa FISADI Kumbe Mapapa mmelamba Trilions baada ya kuuza shares/vitalu vya Gas kupitia OPHIR.. Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.

Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!
 
Raha ya shida ikufuate sio kutoka nje kwenda kutafuta shida hata kama una nguvu bado sio uungwana kwenda kuisaka shida ilipolalia!!!!

Angalia uandishi, ujengaji wa hoja, vielelezo vinavyotoka, mtiriroko wa hoja na wachangiaji wanvyoongezeka na mrengo wao!!!!

Ya nini shida yote hii??!!
Mnatia aibu comrades!!!
 
Dalali wa korosho anajenga hotel five star, mkulima?

Kwani ile hotel gharama yake ni kama bei gani. Na msimu wa korosho na ufuta mikoa ya kusini hukusanya billion ngapi? Hazifiki angalau 100? Na kwa mtu serious hawez kukusanya billion5 hadi 10? Ukikadiria kwa kutumia pro rata rate, billion 4 hadi 6 zinajenga hotel ile. Shebby naamini anaweza.
 
Naona Membe ameona huu uwekezaji utamharibia ikizingatiwa kuwa juzi tu alikuwa anajinadi kuwa anachukia ufisadi.Mbaya zaidi alikuwa anasemea kanisani.
Lakini Mimi nina uhakika kuwa NAF zote mbili pale Mtwara ni za kwake.Lakini si hilo tu ana hisa katika kampuni ya ujenzi inaitwa Wanyumbani ambayo inamjengea barabara la lami kwenda kijijini kwake ambako ameshakuweka kama ikulu.
Ushahidi upo,tena wa kutosha.Alianza aliyekuwa bosi wake Tiss Hassy Kitine na baadaye Mbunge wa Mtwara kuwa Membe anajenga Hoteli pale Mtwara.
Ushahidi mwingine ni kwamba Mimi nina ndugu ambaye anafanya pale NAF Hotel ambaye alipata kazi kupitia Membe. Anasema pale anaheshimika na kuogopwa kuliko hata huyo Shebby kwa sababu ni kijana wa Membe. Na amenithibitishia kuwa ile Hotel ni ya Membe.Huyu kijana wa Membe anasema hata vikao vya mikakati ya urais huwa anafanyia pale akiwa na akina Nape.
 
Kwani ile hotel gharama yake ni kama bei gani. Na msimu wa korosho na ufuta mikoa ya kusini hukusanya billion ngapi? Hazifiki angalau 100? Na kwa mtu serious hawez kukusanya billion5 hadi 10? Ukikadiria kwa kutumia pro rata rate, billion 4 hadi 6 zinajenga hotel ile. Shebby naamini anaweza.

hiyo bilioni unaitaja kama buku. Hoteli ni za Membe. Membe ni fisadi pesa za gadafi zinafanya kazi.
 
Peleka ujinga wako hapa nani unamfanya mtoto asiyejua uhusiano wa membe na huyo shebby wakati iko wazi biashara zote za membe shebby mix ndo msimazi au unataka tuweke na orodha ya biashara zake hapa, umechelewa kujisafisha bora ungepiga kimya.
Tunajua shebby mix ni mfanya biashara lakini hana uwezo wa kukopa mabilion ya kuwekeza katika biashara kubwa kama zile
Au ni lile duka la simu pale stand kuu ?
Au ni mazao na mbao?
Au nyara za serikali?
JIPANGE.

Hivi ni nani amekuambia hana uwezo? Uwoga wako wa kukopa ndo usifanye na wenzako wawe sawa na wewe. Hata Rombo Green view mmiliki alitolea ufafanuz ni mikopo. Anasema mwanzon ilianza ikiwa ndogo. Hata NAF ilianza Lodge ndogo ikiitwa NAF View, baadae sana ikajengwa NAF Beach na FAN City. Na hayo majina FAN au NAF ni kageuza majina matatu ya watoto wake huyo Shebby kama mdau alivyofafanua hapo juu!

Shebby kaanza gemu za kuhangaika na biashara pale Mtwara muda sana. Jamaa inaonekana anajua kufight!

Inawezekana Membe akawa na hisa labda kwa kuwa wako karibu au ni marafiki, hilo ni vigumu kuthibitisha, ila kusema Shebby hawez kukopa benki inashangaza, kwa nini asiweze? Ni mtu aliyeishi Mtwara muda na kuhangaika kibiashara, na wakat ule Mtwara viwanja na mapori ilikuwa ni bei ya kutupwa. Sasa kama alinunua kwa vision na baadae imekuwa value ni kubwa baada ya ugunduz wa gesi huoni ardhi imekuwa na thamani kubwa na hivyo ni rahisi kuwa na colateral ambazo ni rahisi kukopesheka benki? Eti Shebby hana uwezo wa kukopa, kwa nini? Kama wewe ni mwoga wenzako wanaweza?

Wakaz wa Mtwara nao ni wajanja sana siku hizi.

Watu kama Maarifa anamilik Safari Radio,Makonde Beach na Makonde Water. Bila kumsahau Mr Hamza kama sikosei anamiliki Pride FM, na hawa wote ni wazawa wa Mkoani Mtwara. Baada ya Wanamtwara kufunguka kifikra nao wako vizuri sawa na wakina Mfugale wa Iringa anaemiliki Ebony FM na Peacok Hotel au MAiro anaemiliki Hotel La Kairo Mwanza au mzawa wa Arusha/ Moshi anaemiliki Naura Springs. Exposure imewatoa matongotongo wanaMtwara, na bado Mahotel yanajengwa kwa wingi sana Mtwara kwa sasa. Wanamtwara na Watanzania wanawekeza sana tena sana. Naamini Mtwara soon itaipita hata miji mingine iliyotangulia. Sidhan kama Morogoro, Iringa, Dodoma na hata Mbya kuna hotel ya nyota4 sina hakika!
 
Jina lake la utoto hili huyu mheshimiwa kabla hajabadili na kuanza kujiita BCM kwi kwi kwi kwi kwi kwi lol!!!

Sawa Mh. Bernad Kamilius Membe tumekusikia, msalimie Shebby Mix.
 
Hivi bahari Ya Hindi kweli ni Ya Kikwete? Kuanzia Bagamoyo, Dar, Pwani, Lindi hadi mtwara?
 
Back
Top Bottom