Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

Peleka ujinga wako hapa nani unamfanya mtoto asiyejua uhusiano wa membe na huyo shebby wakati iko wazi biashara zote za membe shebby mix ndo msimazi au unataka tuweke na orodha ya biashara zake hapa, umechelewa kujisafisha bora ungepiga kimya.
Tunajua shebby mix ni mfanya biashara lakini hana uwezo wa kukopa mabilion ya kuwekeza katika biashara kubwa kama zile
Au ni lile duka la simu pale stand kuu ?
Au ni mazao na mbao?
Au nyara za serikali?
JIPANGE.

Punguza jazba mkuu kisha tupige ishu bila ushabiki. Tupe kwanza ushahidi kwamba Membe ni mmiliki wa hotel. Utatusaidia sana kumhukumu Membe maana jamaa anakaribia kuoteshwa. Taasisi zote muhimu zimeshindwa kupata ushahidi hivyo wewe kuwa mzalendo lisaidie taifa lako na liokoe kabla ujachelewa maana vyombo na Taasisi za dola vinamwona msafi.

Ukisema tu kwamba Sheby hana ela ya kujenga sio ushahidi kwamba Membe ndio kujenga. Pia ni tusi kubwa kwa Shebby kwamba hana ela. Lakini sio hivyo tu labda utuambie kwamba wewe ni nani kwa Sheby kiasi cha kujua utajiri wa Sheby. Wewe ni mke wa Shebby? Kumradhi kwa hili swali ila nikatika kusaka ushahidi kwamba Shebby hana ela!

Nadhani umwombe radhi Bwana Shaibu Juma kwa kudhani kwamba yeye ni hayawani na masikini hasiye na uwezo wa kumiliki hotels.
 
Watanzania siwaelewi inamaana amtaki mtu smiliki kitu au raha yenu akina bareksa manji ndio muwasifie mtu akiona kitu mara riziwan ni mwizi mara lowasa tufikirieee sanaaa

Hakuna asiyependa watu wasimiliki vitu, utajiri au whatever Ila umepataje utajiri huo ndio kunakoyia shaka kwa viongozi wetu wengi wa kiafrika hasa Tanzania.
Pili, unafiki wa baadhi ya viongozi kama Membe kuwanyooshea wenzao vidole wakati yeye mwenyewe ni mchafu sana, aache kabisa hii danganya toto ya kipuuzi.
Tena nyie wapambe wake mngekua na akili msingekua mana mtetea katika masuala ya kifisadi mana uchafu wake uko wazi.
Ongeeni mengine.
 
Membe ni mchafu tu kama wachafu wengine, hana usafi wowote.
 
Punguza jazba mkuu kisha tupige ishu bila ushabiki. Tupe kwanza ushahidi kwamba Membe ni mmiliki wa hotel. Utatusaidia sana kumhukumu Membe maana jamaa anakaribia kuoteshwa. Taasisi zote muhimu zimeshindwa kupata ushahidi hivyo wewe kuwa mzalendo lisaidie taifa lako na liokoe kabla ujachelewa maana vyombo na Taasisi za dola vinamwona msafi.

Ukisema tu kwamba Sheby hana ela ya kujenga sio ushahidi kwamba Membe ndio kujenga. Pia ni tusi kubwa kwa Shebby kwamba hana ela. Lakini sio hivyo tu labda utuambie kwamba wewe ni nani kwa Sheby kiasi cha kujua utajiri wa Sheby. Wewe ni mke wa Shebby? Kumradhi kwa hili swali ila nikatika kusaka ushahidi kwamba Shebby hana ela!

Nadhani umwombe radhi Bwana Shaibu Juma kwa kudhani kwamba yeye ni hayawani na masikini hasiye na uwezo wa kumiliki hotels.

Hujui ethics za kumsafisha mtu bwana mdogo we uguza ukimwi wako huo
Naweza nikawa namfahamu huyo shebbymix zaidi yako wewe
Kwa nini unataka kupindisha ukweli
We unalifahamu hili jukwaa kweli au mgeni hapa
Sina haja ya kuweka ushahidi hapa coz atazidi kuchafuka bwana mdogo
We piga kimya
Haya makitu unayoendelea kuweka mjadala hapa yatakukosti aisee
 
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.

Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!

Uraisi shida kweli..Membe nae kaingiza jeshi.by the way naomba kuuliza maswali kama manne tuu

1. Ni nani huyu Shebby mix?historia yake.

2.Ni nan washirika wa biashara,watu wa karibu wa Sheby mix.(hapa kuondoa dhana Shebby mix sio watchdog)

3.Biashara zq huyu bwana uki reflect a.k.a yake ya Shebby MIXX.

4.ushahidi wa huo mkopo(maana inaonekana unalifaham hili suala vizur kias cha kujua hadi chanzo cha mtaji wa kujenga hiyo hotel).

Ni hayo tuu
 
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.

Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!

Kwanini mnahangaika kukanusha,kwani ni vibaya Membe kumiliki hotel au kufanya biashara?Absolute garbage
 
Shebby kama aliyasema hayo unayoandika basi ni punguhani namba 1..

Halafu wewe Kiluvia elewa kwamba hata mimi kiwanja hicho nilikuwa ninakitaka, na niliisha waweka sawa idara ya ardhi, Mkapa tulielewana nae vizuri kabisa mpaka nilimfuata usiku kumwambia kwamba naongeza dau baadae kesho yake SHABBY akaibuka na kuwatisha bwana ardhi na Mkapa kwamba kiwanja hiki anakitaka mkubwa akaonyesha kadocument Fulani wote tukanywea Shabby akapewa kiwanja kwa niaba ya mkubwa, ilipofutilia kwa bwana ardhi akaniambia black and white kwamba aliyenunua kiwanja ni waziri Membe.
 
Wewe umeupasua ukweli kwa data ambazo hazipingiki kabisa.

Ha haaa mkuu naona unajijibu mwenyewe, subiri muda ukifika utakapoiona hotel hiyo kwenye front pages na details kutoka behind the scenes ndio utajua Membe hatapata pa kutokea. Yeye aombe kura hivyo hivyo na uchafu wake kwani hakuna msafi ndani ya CCM.
 
NI UJINGA NA UZUZU kuja jukwaaani kutangaza eti Membe sio mmiliki wa Naf. Unachotaka kusema hapa ni nini hasa?
1. Una maana Membe sio mmiliki halali?
2. Au una maana sie aliyejenga hiyo Hoteli?
3. Una maana Membe hana uwezo wa kujenga Naf hotel??
4. Au unasema kwamba ni dhambi kusema mmiliki wa Hotel ni membe?

KAMA UMEWEZA KUJUA HOTELI SIO YA MEMBE - UNAWEZA KUSEMA HOTELI NI YA NANI BASI??????
 
mngekuwa na akili tungeungana pamoja kukemea post za kipuuzi kama hii. hivi hamuoni kuwa post hizi zinatugawanya? ndo maana siku zote nitaendelea kuwatukana wapumbavu kama hawa.

[h=2]Re: Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel[/h]

quote_icon.png
By Prince k
Mwambie hatuchagui Muislamu this time

makafiri utayajua tu kwa matendo yao na maneno yao.​

Ubaguzi mkubwa sana wa dini. Dont be too low chief

Mkuu kafiri ni nani kwa dini yenu
 
Tuache siasa taka..membe sio mmiliki wa ile hotel
 
Back
Top Bottom