Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

Shebby Matelefone ametangulizwa tu kama boya. Watu tunajua hadi Membe alikotoa hela ila tunaogopa kusema kwa kuwa Membe anao maadui 11 na wa kwanza Absalom Kibanda tunajua alichokipata, wapili afisa ubalozi wa Libya "alijinyinga", Tusijekuwa wa 12.

RIP Muamar Ghadaffi

Mkuu usiseme bhasi!
 
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.

Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!

Ok, lakini yeye mwenyewe si ameshasikia mara kadhaa akihusishwa na umiliki huo wa Hotel? Mbona hajawahi kukanusha zaidi ya kusema ana maadui kumi na moja tuu? Kinachomshinda ni nini kutoka hadharani na kukanusha yeye mwenyewe hadi wewe ujitokeze kuelezea hilo kama vile wewe ndiye mtunza fedha wake? Au wewe ni mkewe?
 
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.

Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!

we haufai kuwa mpambe!!! badala ya kukanusha. unakuja kumtangaza Membe kuwa anamiliki hiyo hotel.......

.................Membe usimlipe huyu posho!!
 
nenda kwa wapiga kura wake ndo ukamsafishe na hoja zoeleka na sio kwa great thinker though sio wote!!!haijapata kutokea kwa viongoz wa ccm kukubali kama wanamilik mali sababu wanajua hawajapata kihalali!!sipendi kuskia kila jambo linapotekea wanasingzia kuchafuliwa kisiasa!!whats siasa?hvi kwa akili ya kawaida unafikir akubali kama yake wakat anajua haijapatkana kihalali ni matokeo ya fedha haram.yote yanatokea kwakua wanajua watz ni wepesi wakudanganywa na wavivu wa kufikiri!!binafsi sikubaliani na utetez wako koz ndo destur za viongozi wa serkali ya ccm!!wote waongo!!!hvi you guyz how much do those people pay u ?kwa kazi hii uvuvuzera wa kijuha!
 
Membe sio mfanyabiashara.

Unachoongea mkuu Kiluvia ni kweli kabisa kwa kuwa hakuna jina la Membe kwenye documents za umiliki wa hoteli, lakini BEHIND THE SCENES mauzo ya hiyo hotel ndio yanatarajiwa kumuweka mtu magogoni hapo October pamoja na chenji iliyobaki katika mabilioni ya Ghadafi na yale magari kaahidiwa na Quaboos.

Hivi Membe na Lowassa hawaamini kuwa unaweza kupata uraisi kwa kuchangiwa na sisi watanzania maskini?
 
ongezea na hii sentensi pia kwenye tamko lako " hakuna uwezekano wowote unaoweza kupatikana hapa duniani au hata mbinguni Membe kuwa Rais wa Nchi hii! haya yanayosemwa na watu mbalimbali ni kama vile furahisha genge tu maana kwani hata nyie si mnamuona membe alivyo. Ubunge tu aliupata kimagumashi na hata yeye haamini kuwa ni mbunge, Membe mwenyewe anasema kuwa yeye sio presidential material"
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.

Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!
 
Ile NAF ya baharini gharama zake ni mtaji mzima wa CRDB, ni lazima uwe fisadi ndo utamiki hotel kama hiyo,SHEBBY hana ubavu wa kumiliki hotel kama hiyo anauwezo wa kumiliki pikipiki , hat kile kiwanja cha karibu na maposeni kauza.
 
Acha uongo , Shelby Hana Hata nusu Ya robo kujenga hiyo naf, achana na ile Ya karibu na stand, naf zote n za membe na aseme pesa alipata wapi.

Shida ya watanzania hatujiamini wenyewe na hatuamini mwafrika mwenzetu akimiliki biashara kubwa. Tunapoona mswahili mwenzetu ana biashara yenye mafanikio, conclusion yetu ni kwamba hawezi kuwa mmiliki wake ...kwasbabau mtu mweusi hawezi kumiliki biashara. Ile hoteli ingekuwa inamilikiwa na Somji, hapo ndio tungeridhika ni ya kwake. Hii ndio mentality ya General....

Na hata kama for the sake of argument hiyo hoteli ingekuwa ni ya Membe, basi nampongeza maana walau yeye amewekeza nchini....hoteli ile inatoa ajira kwa watanzania, inatoa fursa za wauza maziwa, vinywaji na vyakula kupata soko na inalipa kodi nchini. Bora hivyo, kuliko akina Chenge na mafisadi wengine wanaoweka pesa zao Jersey, Dubai na kwingineko ambako wananchi haaambulii kitu...

That said, Nijuavyo mimi mmiliki wa hoteli ile ni mfanyabiashara mtanzania Bwana Shabani ambaye pamoja na hoteli hiyo anamiliki kampuni kubwa ya ujenzi kanda ya kusini. Bwana huyo pia ni Exporter wa Ufuta na korosho nchini Japan na kwingineko. Bwana Shabani biashara hakuanza leo, amemekuwa akifanya biashara kwa mafanikio makubwa kabla hata Membe hajawa Waziri mwaka 2001.
 
Ok, kwa jinsi ilivyoandikwa ni kwamba mmiliki wa hiyo Hotel ni Membe kwa asilimia 100....! Kwanza wewe ni nani hadi ujue huyo Shebby kakopa crdb? Huu ni uvivu wa kufikiri!!!

Naomba nikuulize swali, kuna ubaya gani Membe akimiliki kitegauchumi alichokipata kwa njia halali????
 
Shida ya watanzania hatujiamini wenyewe na hatuamini mwafrika mwenzetu akimiliki biashara kubwa. Tunapoona mswahili mwenzetu ana biashara yenye mafanikio, conclusion yetu ni kwamba hawezi kuwa mmiliki wake ...kwasbabau mtu mweusi hawezi kumiliki biashara. Ile hoteli ingekuwa inamilikiwa na Somji, hapo ndio tungeridhika ni ya kwake. Hii ndio mentality ya General....

Na hata kama for the sake of argument hiyo hoteli ingekuwa ni ya Membe, basi nampongeza maana walau yeye amewekeza nchini....hoteli ile inatoa ajira kwa watanzania, inatoa fursa za wauza maziwa, vinywaji na vyakula kupata soko na inalipa kodi nchini. Bora hivyo, kuliko akina Chenge na mafisadi wengine wanaoweka pesa zao Jersey, Dubai na kwingineko ambako wananchi haaambulii kitu...

That said, Nijuavyo mimi mmiliki wa hoteli ile ni mfanyabiashara mtanzania Bwana Shabani ambaye pamoja na hoteli hiyo anamiliki kampuni kubwa ya ujenzi kanda ya kusini. Bwana huyo pia ni Exporter wa Ufuta na korosho nchini Japan na kwingineko. Bwana Shabani biashara hakuanza leo, amemekuwa akifanya biashara kwa mafanikio makubwa kabla hata Membe hajawa Waziri mwaka 2001.

hapa sio kujiamin hoja ni membe kumiliki hotel !badala kuchangia mada umegeuka comfussor na baadae vuvuzera!!kwanin viongoz wetu waongo? kutaja mali zao hadharani ni kuwachafua kisiasa!!jibu ni jepes tu mali zao nyingi ni za wizi au zimetokana fedha haramu kwakutumia nafasi zao!hvi wew ni mtt wa membe au mkewe?tusije tukawa tunaarque na vipeperushi vyake itakua ni kupoteza muda tu.
 
Back
Top Bottom