Membe: Nimerejea CCM kwa sababu kuu mbili

Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Stupid, mwongo ni kwa vile CCM iko madarakan na hivyo kuna mianya ya KULA/TUMBO street! CCM ikiwa kama KANU hutamuona akisema ujinga huo!
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Biashara zake zilifungwa zote
 
Amerudi CCM kwa sababu bado anaota kuwa Rais wa Tanzania!! Atajaribu kuvizia 2025, lakini lengo hasa ni 2030!
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Jiongo jizee. Ndiyo tabia ya UCCM, UNyani, aliousema Mtikila. APEDOMIA
 
Wapinzani ikiwa ni pamoja na CHADEMA wanapaswa wajifunze hilo somo vizuri.
Alitumia ujana wake wote kwenye siasa za mbeleko za CCM, hakuna uwezekano wa kuendesha maisha yake ya uzeeni nje ya siasa za mbeleko za CCM.
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Mzee amerejea CCM KWA SABABU MBABE MAGUFULI AMETOWEKA KABISA AACHE JANJA JANJA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
kikubwa angeanza kusema kasukumwa na dhamira yake.Kwakuwa kama haujapenda hata ukishawishiwa hufanyi.
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
PUNGUANI Huyu
 
kila mtu anajua kuwa huyu bwana aliikimbia ccm kwa sababu ya yule bwana aliyezikwa Chato
 
Back
Top Bottom