peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,306
- 31,567
Kanda ya ziwa inawatizamaaaaaTimu imekamilika kuelekea 2025.
Kanda ya ziwa inawatizamaaaaaTimu imekamilika kuelekea 2025.
Kaskazini pia tutawakata na vichinjio vyetu.Kanda ya ziwa inawatizamaaaaa
Hivi hapa Ndio wami?nimeuliza tuKaskazini pia tutawakata na vichinjio vyetu.
Arusha wanatuonea sana awamu hii.
You can imagine daraja la wami linachukua miaka kukamilika.
Amerudishwa ili kuongeza fundo katika mchakato wa Katiba Mpya.Alitumia ujana wake wote kwenye siasa za mbeleko za CCM, hakuna uwezekano wa kuendesha maisha yake ya uzeeni nje ya siasa za mbeleko za CCM.
👌Ndio penyewe mkuu
😘😘😘
Ile maana ya SII hasa ni ngumu kueleweka na wengi 🚶Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.
Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .
Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?
Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Wahuni wanazidi kurudi tena kwa Kasi huyu jamaa anajitekenya mwenyewe.Inasikitisha sana !
Sub wa dk. ya 89😀Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.
Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .
Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?
Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Kabisa kabisa huo ndio ukweli, walichofanywa Ndugai, Bashiru na Polepole na KABUDI ni kutupwa tena majalalani waliko okotwa na KICHAA.Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?
Mkuu Erythro, hivi kweli kuna cha kujadili hapa?Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.
Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .
Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?
Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Msoga gang hawa upo sahihi, hao jamaa wanashangilia ushindi wa bwerere ila wamesahau kuwa JPM ameacha mapandikizi yake kila eneo hapa TZ, japo amekufa lkn mapandikizi yake hayajafa, time will tell.Membe = Samia = JK = Nape = Makamba= Mwigulu.
Nimesema uongo ndugu zangu?
EEEEeeeHeeeee!Kipindi cha Magu wote walijificha chini ya uvungu.
Sasa hivi wameibuka kila kona ya nchi wanatutambia.
Mzee uchaguzi WA 2020 aligeuka 'kituko.'Huyu mzee angepunguza kelele afanye mambo yake kimya kimya.
Kama ana dhamira ya kuitumikia CCM mpaka aingie kaburini, hao viongozi wadini wametoka wapi?
Ananikumbusha zile ngonjera zake za niguse ninuke, akaguswa na chuma matokeo yake kimya wala hakuna kilichonuka!