Membe: Nimerejea CCM kwa sababu kuu mbili

Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Urais huutaki tena mweshimiwa ?
 
Chadema bhana
Hao viongozi wa dini wanamaanisha CCM ni chama cha Mwenyezi Mungu? Ina maana kuwa upinzani ni dhambi? Ni heri awataje kabisa na hao viongozi wa dini waliomshawishi ili tuchambue mchele na chuya.
 
Huyu mzee angepunguza kelele afanye mambo yake kimya kimya.

Kama ana dhamira ya kuitumikia CCM mpaka aingie kaburini, hao viongozi wa dini wametoka wapi?

Ananikumbusha zile ngonjera zake za niguse ninuke, akaguswa na chuma matokeo yake kimya wala hakuna kilichonuka!
Kama hakuna kinachonuka nenda pale chattle pembeni ya kaburi, ukasikilizie harufu.
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
kwa sasa sisiemu haina presidentio materio.hivyo aweza kuomba agombee uraisi 2025 au 2030.kaka mtu huyooooo.napita tuu
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
chadema mna matatizo sana sasa mtu amekupa hizo sababu zake mbili kuu wewe ni nani mpaka uhoji sababu za mtu za kutoka moyoni hala ujue yule mtu wa system na mkome kuwapokea watu kama hao yule ni ccm damu
 
Back
Top Bottom