Membe: Nimerejea CCM kwa sababu kuu mbili

Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
mtu anaitwa 'Camilius' kisha mnashangaa yeye kuwa na tabia za kinafiki?
 
Huyu mzee angepunguza kelele afanye mambo yake kimya kimya.

Kama ana dhamira ya kuitumikia CCM mpaka aingie kaburini, hao viongozi wadini wametoka wapi?

Ananikumbusha zile ngonjera zake za niguse ninuke, akaguswa na chuma matokeo yake kimya wala hakuna kilichonuka!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Erythro, hivi kweli kuna cha kujadili hapa?

Nchi yetu hii kumejaa wachumia tumbo ambao hata soni usoni hawana kabisa!

Wewe unadhani huko CCM ni nani mwenye sifa ya namna hiyo, ya kujitoa kuitumikia CCM hadi atakapoingia kaburini, nani? Labda uwaondoe wazee mmoja mmoja kama akina Warioba, wengine wote, akina Samia. akina Kikwete, akina Kinana, n.k., wote ni wachumia tumbo tu; 'opportunists' waliobahatika kuwa sehemu sahihi na muda sahihi, embe lilipowadondokea kichwani.

Ni nani amejitoa kwa kila hali, kuitumikia CCM kati ya hao wote waliomo sasa, badala ya kusubiri zamu yao ya kupiga!

Ukitaka kujua CCM ilipo sasa hivi, fanya itokee wananchi wawalazimishe kukaa pembeni kwa miaka mitano. Wasiongoze chochote katika muda huo, halafu utakuja hapa utueleze hizi ngonjera za akina Membe.

Hawa watu siku hizi wanawadharau sana waTanzania na kuwafanya kana kwamba wote ni majuha wasioweza kutambua ulaghai wao wanaowatangazia kila mara.

Na yule jamaa mwingine wa Singida, Nyalandu, na yeye anasemaje kuhusu mapenzi yake kwa CCM? Na Lowassa je? Sumaye...!

Inasikitisha sana!
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Sababu zake ndiyo zimenichekesha sana
 
Mchezo aliopanga kaka 2015 ukashindikana unaandaliwa kwa namna nyingine, subirini sarakasi toka msiooga team.
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
He must deliver a blured message ndio wajibu na ndio kazi yake. Safi sana ndugu statesman Membe. Its either now or we suffer for the next 40years that was in 2020, mmoja alisema nikistaafu msinifuate fuate, tutunze kumbukumbu upanzi unaponza sana.
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Membe ni bogus sana.
 
Back
Top Bottom