Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 644
- 1,482
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.
Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.
Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali
Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo