Membe ni mbaguzi. Mla nyama za watu. Hafai katika uongozi wa nchi

Benson Mramba

Verified Member
Oct 29, 2013
588
1,000
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
 
stinger_bug

JF-Expert Member
Jul 14, 2019
857

Njaa ikifika mpaka kwenye ubongo ni mbaya sana. Huwezi kukwepa kuitwa mpumbavu.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,516
2,000
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
wewe ni verified member, so unajulikana.

hivi mahakama ikikuhitaji utoe ushahidi wa ulaji nyama ulioutaja, unao?
naona unyeaji debe unanukia kwako!
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
51,095
2,000
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
Fafanua amebagua nini ?
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
19,146

Umesahau namba mkubwa
Ila wewe kabila lako ndio shida na ndo kitakachokuponza
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,277
2,000
Umesahau namba mkubwa
Ila wewe kabila lako ndio shida na ndo kitakachokuponza
Kusema kweli jamaa hajaweka hoja kabisa.

Nawewe umeingiza mada ya ajabu ya ukabila.

Vipi kuhusu Jerry Muro sio kabila moja na Mramba? Kwanini yeye kateuliwa kama hilo kabila hawateuliwi awamu hii?

Usichochee ukabila ni hatari hata kwako na nduguzo mambo yakiharibika kama Rwanda.
 
Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
4,025
2,000
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo

Yaani old is gold ni watoto wa siku hizi tu ndiyo wanaweza kumwita mtu mbaguzi kutokana na simu moja ambayo hatujui hata nani aliye record mazungumzo na kama ni mazungumzo kamili au ni cut and paste. Membe ana record ya kufanya kazi miaka 40 kwanini usitumie hiyo miaka 40 badala ya simu. Ukiwa na akili za kitoto ndiyo utatumia simu moja kama hii. Najua bado hujui kufanya kazi miaka 40 ni nini!
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,322
2,000
In regard to your claim, provide evidence concerning the person you discussed, that supports your arguments and assertions.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom