Membe ni mbaguzi. Mla nyama za watu. Hafai katika uongozi wa nchi

Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
Tanzania kila mtu anaweza kuwa Rais, na akapambwa kama ilivyo sasa hivi.
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
Mh.Membe hawa ndio wale wenye PHD za Unafiki hebu wafunge mkuu
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
Mpaka umemtaja kwenye kufaa au kutokufaa kuwa Rais inamaana angalao anafikiriwa kwenye hicho kiti. Unadhani kwa nini hujaleta mada kama "Joti hafai kuwa Rais"??
 
Debe tupu huo ubaguzi wake ni upi?
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
Masikini we hadi leo hujateuliwa tu?Tatizo wewe ulijipeleka mwenyewe Lumumba, wenzako walikuwa wananunuliwa kwa hela ndefu na vyeo wanapewa. Ile kashfa ya kukwapua hela ulivyokuwa Chadema ndiyo inakutafuna na ukichanganya na kabila yako utasota sana hapo.
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
Leo hii membe kawa mbaguzi? Ulikuwa wapi nyuma kuyasema haya mpaka waraka umetoka? Wewe na ccm ndo wabaguz namba moja kwan mlikuwa mnasema cdm ni chama cha kaskazin mmemaliza sasa mmeanza kubaguana mtajiju wenyewe

Gawaneni fito si wananchi hayatuhusu ya ccm ila tuachieni Tanzania yetu
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo

Ngoja waje members wa gang....wakati wa fulani huko China kulikuwa na kundi likiitwa ' the gang of four'
 
Hivi wewe na Mtatiro nani alianza kuunga mkono juhudi? Zamu yako haijafika au wamekusahau?
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo

Hizo sifa za Membe ulizotaja ni zipi Magu hana?
 
kwa io ndo mmeshauriana mje na mumchafue Membe kwa hoja maiti kama hizi?
 
wewe ni verified member, so unajulikana.

hivi mahakama ikikuhitaji utoe ushahidi wa ulaji nyama ulioutaja, unao?
naona unyeaji debe unanukia kwako!

Sasa hivi ukimtukana na kumkashifu yoyote aliye tofauti na Magu uko salama. Hata umfanyie ukatili wowote mpinzani hakuna taasisi yoyote ya kimamlaka itakugusa maana hiyo ni dalili ya uzalendo!
 
mnatete vitu vya kifala kinoma.... jiwe anaipamba chato wewe unakuja kutuchefuachefua mpuuzi kabisa ww.... hivi ni nani anayemkubali jiwe?? nahisi hat..

katika vitu tulikosea ni kumchagua huyu jamaa
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
 
Sasa hivi ukimtukana na kumkashifu yoyote aliye tofauti na Magu uko salama. Hata umfanyie ukatili wowote mpinzani hakuna taasisi yoyote ya kimamlaka itakugusa maana hiyo ni dalili ya uzalendo!
du!
 
There is no market for your emotions,so never advertise your feelings just display your attitude!

Wanzuki oyeèeè
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
ungemtukana tu ingekuwa bora
 
Madaraka hayatafutwi kwa hoja za kipuuzi kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom