Membe ni mbaguzi. Mla nyama za watu. Hafai katika uongozi wa nchi

Rais anasema yupo radhi kushauriwa na kukosolewa Ila cha kushangaza wanaotakiwa kumshauri na kumkosoa ndo wanadai kua wewe ni Sawa na Mungu hutakiwi kukosolewa. Kua na Akili mgando ni shida sana.
 
Alikuwa anahangaika na Mbowe, akaona kampotezea. Sasa kaingia kwa Membe ili aonekane na Jiwe.
wewe ni verified member, so unajulikana.

hivi mahakama ikikuhitaji utoe ushahidi wa ulaji nyama ulioutaja, unao?
naona unyeaji debe unanukia kwako!
 
Dah nimekuja mbio nilidhani Membe kageuka kuwa Rama mla watu. Sijaona kitu kama hicho kwenye uzi nasepa zangu!
 
Hata utumie kauli kali kali lakini bado hauna hoja
UMEANDIKA USHUBWADA KAMA AKILI YAKO ILIVYO YA KULAMBA MATAKO YA WANAUME WENZAKO KWA KUJIPENDEKEZA,UNATETEA NINI?TATIZO LA CHUO CHA KATA ULICHOSOMA. KWENYE SHERIA HAKUNA FIGURE OF SPEECH.UMENIELEWA WEW MARIAMU?
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
Kwenye awamu ya tano nimejifunza unafiki wa wanaccm kwa kiwango cha Musiba(Phd)
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
Uzi wa ovyoo
 
Amemla mama yako? Acha lugha ya kufedhehesha
 
Kusema kweli jamaa hajaweka hoja kabisa.

Nawewe umeingiza mada ya ajabu ya ukabila.

Vipi kuhusu Jerry Muro sio kabila moja na Mramba? Kwanini yeye kateuliwa kama hilo kabila hawateuliwi awamu hii?

Usichochee ukabila ni hatari hata kwako na nduguzo mambo yakiharibika kama Rwanda.
Mabwana wadogo huwa wanaandika kwanza halafu wanafikiria baadae.
 
Mwl. Julius Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwamba Mbaguzi hawezi kuacha dhambi hiyo hata kidogo ataendelea nayo mpaka kwenye familia yake.

Nimesikiliza mazungumzo ya Ndugu Benard Membe (Muota Urais) akizungumza na katibu Kata mmoja kwa kweli sikuamini masikio yangu. Membe ameinuiliwa na kutukuzwa sana ila kwa mazungumzo yale na ubaguzi ule nimehitimisha kuwa Membe anapewa sifa asizokuwa nazo hata kidogo.

Membe ni mbaguzi,muoga,na mjenga makundi ni wa kudhibitiwa kwa hali na mali

Magufuli ni Rais wa mfano hapaswi kupingwa wala uhalali wa kufanya hivyo haupo
Ww umefungiwa kwenye box la ccm endelea kujikomba
 
"Na wewe ni nani?
 
Back
Top Bottom