Umri utakua umeenda aiseeDaah aisee so 2025 atakua na miaka 73,hapo si mchezo mkuu.
Kama uchaguzi utakuwa fair,hakuna polisi wa jeshi lolote kuingilia,polisi wafanye kazi bila uoendeleo,tume ya uchaguzi isiingiliwe, Mheshimiwa anapigwa mapema sana. Ila kama mambo ni ya hivihivi ya kutumia mabavu,ni kweli atashindaHabari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.
Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.
Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.
Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.
Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).
Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.
Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.
Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.
Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.
Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).
Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
We ndiyo unajisumbua kutetea ili hali ukweli unaujua. Uchaguzi uwe fair tuone! Miradi yote hiyo ilikuwepo,inachofanya awamu hii ni kuendeleza na kukamilisha tu. Sema awamu hii inafanya kwa mbwembwe,kitu kidogo hadi live television,ndege tu kununuliwa ilikuwa sherehe utadhani hatuja wahi kuwa na ndege.Mnajisumbua bure hakuna wakupambana na Magufuli , hamuoni miradi aliyoianzisha na kufanikiwa, elimu Bure , ununuzi wa ndege, reli ya kisasa, vituo vya afya kila kona vimejengwa,Barbara kila kona zinajengw ,na kuboreshwa, miradi ya maji ndio usiseme,amevunja rekodi kwakutoa mikopo kwa wanafunz wanaoenda vyuo , analinda rasilimali zetu ziti wa mabepari . kwa yote haya aliyafanya ndani ya miaka mitatu hakuna wakupambana nae ,Mungu mbariki raisi wetu na serekali yake .
Mtu mwenye akili timamu na anayeitakia mema Tanzania hawezi kuwa kinyume na Magufu.Na naomba niwe muwazi pia katika hili,mtu yeyote anayemuunga mkono mtu aliyekinyume na Magufuli,na yeye ni mchumia tumbo.Eti Membe ana dola nyingi alizopewa na Gadaffi,na bila aibu unasema eti alikuwaHabari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.
Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.
Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.
Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.
Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).
Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
Uko sahihi! Nasikia hata PoliCCM na NECCM nako kuna mixed feelings na mgawanyiko hatari na usio na afya ya kupendeza kwa magu na team magu.Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.
So wewe ndio msemaji wake? Acha kutisha wenzioTWENDE NA MEMBE 2020 wewe siyo msemaji wa Membe kaa pembeni
Ha ha ha , mbowe ni mtu wa kutoswa tu , "atoswe mbowe apewe lowassa"😂😂Mbona Kama Ni marudio ya 2015?
TWENDE NA MEMBE 2020 hitaki kajitundikeSo wewe ndio msemaji wake? Acha kutisha wenzio
Ha ha ha , mbowe ni mtu wa kutoswa tu , "atoswe mbowe apewe lowassa"[emoji23][emoji23]
TWENDE NA MEMBE 2020 hutaki kajitundikeView attachment 956195View attachment 956197
Atajitundika kama ilivyokua kulee dodoma 2b.TWENDE NA MEMBE 2020 hitaki kajitundikeView attachment 956195View attachment 956197
Mastori ya kwenye kahawaHabari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.
Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.
Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.
Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.
Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).
Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.
Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.
Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.
Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.
Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).
Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
ndivyo unavyojidanganyaMembe si mtu wa aina hiyo, anaamini ni suala la muda tu atapata madaraka akiwa CCM