Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,620
- 21,161
Membe haendi popote. The guy is smart enough kuona kwa mazingira ya uchaguzi ya sasa, hana namna ya kupenya kuisogelea Ikulu akitokea CHADEMA. Yeye atatulia tu mpaka 2025
2025 membe atakua na umri gani mkuu?Membe haendi popote. The guy is smart enough kuona kwa mazingira ya uchaguzi ya sasa, hana namna ya kupenya kuisogelea Ikulu akitokea CHADEMA. Yeye atatulia tu mpaka 2025
Yaani Benson the world is too unfair kujipendekeza kote kwa muda mrefu hata kacheo hujapewaRuksa. Acha kujishebedua. Mimi naongozwa na dhamira yangu
Tunakwenda kushuhudia Victim mwingine wa Chadema, Chadema ni chama kinachotumia watu na kuwatupa kwenye dustbin.
Hata kama ana 75 yrs, hivi katiba yetu imeweka ukomo wa umri kwenye kugombea Urais? Aside umri wake, huyu jamaa urais ataishia kuuota tu.2025 membe atakua na umri gani mkuu?
Ndg wajiandaeje? Bungeni wananyanyuliwa juu juu ka mzoga, nje ndio hivyo tena, M/kiti ananyea ndoo Segerea. Unasema ati wajiandae. Kivipi?Chadema kama watapokea tena mwanachama toka Ccm na kumpa post ya kugombea urais watakuwa ni chama kisichokuwa na mipango ya muda mrefu kwakuandaa wanachama wao wenye kujua vema misingi ya chama chao na viongozi wao nitawaona Mazuzu....kama hawajajifunza kilichowakuta rudieni tena japo Siasa ni upepo but mtairahishia Ccm kampeni na mtaonekana ni chama kisichokuwa na maandalizi
Sure Membe urais hataupata.Hata kama ana 75 yrs, hivi katiba yetu imeweka ukomo wa umri kwenye kugombea Urais? Aside umri wake, huyu jamaa urais ataishia kuuota tu.
Bado hujapewa hata utendaji wa kijiji,nenda moshi kalime ndizi at leastHabari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.
Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.
Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.
Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.
Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).
Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
We ulihama CDM baada ya CCM kufika bei, yanayoendelea huko CDM yanakuwashia nini?Habari hizi nilizikia tangu 2016 nikiwa pale Makao Makuu ya CHADEMA. Ilisemekana kuwa Nape, Membe na wengineo wanapanga kuhamia CHADEMA.
Mwaka huo huo nikakutana na ndugu mmoja aliyekuwa makao makuu ya CCM lakini alikosa uteuzi wa wakuu wa wilaya na alikuwa kwenye mtandao wa Membe nikamjulisha habari za Membe kuhamia CHADEMA alishtuka kwa furaha. Akaniambia Membe ana dola nyingi ameficha ambazo alizipata kwa Gadafi.
Mwaka 2017 rafiki yangu mmoja mbunge kijana wa CHADEMA aliniambia kabla ya 2020 kutakuwa na uhamaji wa Wabunge kutoka pande zote. Aliniambia siasa za 2020 zitakuwa kama za Kenya. Siasa za muungano wa watu maarufu sio Umaarufu wa Vyama tena.Mwezi uliopita kuna rafiki yangu mwingine wa CHADEMA aliniambia umehama ila 2020 hamuwezi kushinda maana mtakimbiwa na wana CCM wengi.
Aidha Miaka mitatu sasa baadae nikifuatilia yanayoendelea ndani ya CCM na hatua mbali mbali za serikali kudhibiti fedha haramu kwenye maduka ya kubadilishia fedha na benki zetu naamini pasi na shaka kuwa huenda kweli zipo dola zimefichwa mahali zinataka kuingia kwenye mzunguko.
Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vya ndani vya CHADEMA ni kuwa Membe anahamia CHADEMA. UKAWA unakufa kunakuja kitu ambacho Zitto amekuwa akikitangaza kinachoitwa ADF (Alliance for Democratic Front).
Vyovyote itakavyokuwa Magufuli ameshamaliza harakati hizi kwa mambo aliyoyafanya mpaka sasa. Kumshinda ni ndoto za mchana. Atabeba kura **** anakusanya senene au kumbikumbi.
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.
Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Angalau umeongea cha maana kuliko huyo mchumia chini.Mimi CCM ila magufuri hapendwi kama unavyodhani ushauri hapa ni kujipanga kwa matumizi ya dola hamna ujanja mwingine. CCM tuna virusi/maadui wengi kuliko watiifu hutaki sumbua akili utaelewa tu.
Ni Empty Set anazidi kujivua nguo na UBASHITE wake.Huyu tangu afukuzwe cdm amekuwa kama zuzu tu na ccm wamemtosa hawana nafasi za uteuzi tena
Mbowe kuwa jela wala siyo habari, ni sawa na Dar kuwa na joto December!
Dhamira gani ya uchumia tumbo?Ruksa. Acha kujishebedua. Mimi naongozwa na dhamira yangu
Membe haendi popote. The guy is smart enough kuona kwa mazingira ya uchaguzi ya sasa, hana namna ya kupenya kuisogelea Ikulu akitokea CHADEMA. Yeye atatulia tu mpaka 2025
Yaani Benson the world is too unfair kujipendekeza kote kwa muda mrefu hata kacheo hujapewa
Hata kama ana 75 yrs, hivi katiba yetu imeweka ukomo wa umri kwenye kugombea Urais? Aside umri wake, huyu jamaa urais ataishia kuuota tu.
Kwani hujuwi kuwa uliahidiwa sema bahati mbaya mzee sita hayupo ungekuwa unakaa kwake akufundishe miiko ya Chana!Niliahidiwa nini? Ulikuwepo?
Anajidai hakumbuki hakuna Siri chini ya jua!Wacha kupenda vya bure mtoto wa kiume